Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Jamani,,, vipi story imekata hakuna tena muendelezo asije akawa ametekwa
 
Sawa badae tena
 
Huyu pamoja na yule wa kurogewa uchawi wa bundi wote ni Makenge
 
Huyu jamaa mwenye 'siredi' naona anachungulia uzi wake kwa mbali na kusepa.

Wajuaji wamemfukuza na vijiswali visivyokuwa na kichwa wala miguu.
Hii ni hadithi kama hadithi nyingine...sio lazima iwe kweli 💯 kama ripoti ya mahakamani.

Muhimu inakidhi vigezo(kufurahisha na kuelimisha)
Keagan Paul rudi hapa chap na umalizie huu mtanange.
 

Kweli mkuu
 
Oya mkuu kwahiyo sehemu ya 9 ndiyo mwisho...!?[emoji848] mbona hujamalizia vizuri sijaelewa baada ya kutelekezwa hapo nje ya saloon ya jamaa wa Tz nini kilifuata...!? Please malizia uzi wako ni mtamu sana kuna jambo najifunza kupitia kwako mkuu [emoji847] natanguliza shukrani.[emoji120]
 
Daaah naona Sasa Kanya kageuka Jamba aiseee
Hii inaweza ikawa sababu moja wapo Ya mleta uzi kutoka nduki
 

Ipo mpka sehm ya 19 umeruka vipande vingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…