Kuna mtu anaitwa Kitoabu sikumbuki majina ya nyuzi ila ziko 2 na zote ni za moto sanaa kuhusiana na issue zake za uchimbaji wa madiniMkuu nipe list ya stori zilizowahi kukimbiza humu JF hata za zaman before ile ya KHUMBU maana zamani nilikuwa sifatili sasa huu wa PAUL naona speed yake ya kuandika imeanza kuwa na mashaka.
Pia uniambie nyuzi,hizo zinapatikana jukwa lini.
Asante
Nitag basi mmojawapo mana ninesoma ule wa msitu wa NairotoKuna mtu anaitwa Kitoabu sikumbuki majina ya nyuzi ila ziko 2 na zote ni za moto sanaa kuhusiana na issue zake za uchimbaji wa madini
Andika jina lake kisha search posts zake utaiona mi nimesahau jina la uziNitag basi mmojawapo mana ninesoma ule wa msitu wa Nairoto
Andika jina lake kisha search posts zake utaiona mi nimesahau jina la uzi
Atamtafutaje mzee baba na wakati kajifungua gogo chumbani kwao na kaondoka na shuka bila kuagaAisee ungelea tukajua mengi, vp mwanamke alimtafuta tena,
Kuna ile ya yule mzee wetu mwenye mke lakini anapelekeshwa na kimada uliisoma??Nyingine nzuri ipi niambie
NA HAPA NDIO MWISHO WA HADITHI YETU.
ENHEE, WATOTO WAZURI HADITHI HII INATUFUNDISHA NINI?
MIKONO TFADHALI!
Hahahahaha anaujuaji wa kishamba sanaKiufupi konda msafi alitaka kujifanya yeye mzulu
Mkuu wewe kama upo akilini mwangu. JITU LINAKUJA KUPINGA KILA KITU UTADHANI LIMELIPIA HII SIMULIZI.Huyu jamaa mwenye 'siredi' naona anachungulia uzi wake kwa mbali na kusepa.
Wajuaji wamemfukuza na vijiswali visivyokuwa na kichwa wala miguu.
Hii ni hadithi kama hadithi nyingine...sio lazima iwe kweli [emoji817] kama ripoti ya mahakamani.
Muhimu inakidhi vigezo(kufurahisha na kuelimisha)
Keagan Paul rudi hapa chap na umalizie huu mtanange.
Bado tunaisubulia ile uliyoikatisha konda msafiTatizo la watu humu JF wanapenda kusikia kile wanachotaka kusikia. Mtu ukiwa na mawazo kinzani kidogo japo ya kuwasaidia wanakuona kama umekuja kuharibu stori wakati hayo mawazo huenda yakawasaidia vijana ambao wengependa kujaribu bahati zao nje ya nchi. Story ya bwana Keagan Paul ni nzuri sana na inatoa darasa kwa vijana wenye ndoto za kutaka kusaka maisha nje.
Tatizo kuna details ambazo kuna watu humu huenda wakazichukua kama zilivyo bila kuchanganya na za kwao wakajikuta matatani. Naweza kusema bwana Keagan alikuwa na bahati sana tena sana, nadhani waliokaa South Africa watakubaliana na mimi kuwa alikuwa na bahati sana. Kitendo cha kuishi bila permit halafu unajiachia hivyo ni bahati sana kusurvive.
Kwa hiyo vijana wale mnaotaka kwenda huko muwe makini, bwana Keagan kama aliweza kujiachia bila permit msidhani maisha ndio yako hivyo, utadakwa dakika moja tu na kupelekwa sehemu inaitwa Lindela kusubiria kuwa deported. Kama nilivyosema kitendo cha kusafiri kwenda Lesotho wakati viza imeexpire ni bahati ya mtende na pia nampongeza sana kwa huo ujasiri.
Viza ikiexpire ukiwa ndani ya nchi ni kesi kubwa sana halafu akaamua kusafiri kwenda nchi nyingine wakati anajua hata kibali cha kuwemo nchi husika hana, huo ni ujasiri mkubwa sana na nachelea kumpa pongezi maana alikuwa kama anajiweka kwenye mazingira ya kurahisisha ukamatwaji wake.
Kwanza najiuliza walifikaje boarder ya Lesotho bila kukutana na roadblock hata moja na kukaguliwa ID zao? Pili yule immigration officer wa upande wa South Africa aligongaje exit stamp bila kumkamatisha kwa kosa la kuishi nchini illegally, najua amesema aliweka rand 300 kwenye passport.
Haya wakati wa kurudi aliwezaje kuingia tena SA wakati viza ilishaexpire? Bwana Keagan ukipata muda naomba uelezee kidogo kuhusu issue ya kutoka na kuingia tena South Africa wakati viza imeisha ili vijana wajifunze maana kuna wengine wanaweza kudhani kuishi bila vibali South Africa sio tatizo wakati ni tatizo kubwa sana linaloweza kuwapeleka jela.
Viza ikiexpire kisheria huwezi kurenew ukiwa ndani ya ardhi ya South africa hata kama unatoka SADC lazima utoke nje, na utapata misukosuko sana.
Ilipoishia.....
Nywele za Tsheispo zilikuwa zimeangukia mgongoni, chuchu saa sita oclock, guu sasa ndio nilichoka asee, guu nilidhani ni paja la mange kimambi, nikasema hapa keagan lazima leo nimueleze hisia zangu, baada ya kufika pale akesema mbona unaniangalia sana, nikamwambia hapana umependeza sana akacheeka huku tukiongozana kwenda restaurant .
Sasa endelea...
Tulipofika restaurant niliagiza viazi vya kukaanga na kuku Tsheispo yeye aliagiza kuku na juisi basi tulikula weee hadi pale muumini mmoja alipotufata kua tunaitwa na pastor! Tuliondoka na kurudi kanisani nilifurahi sana maana Tsheispo ndie alilipa bili hivo akiba yangu ilibaki salama.
Tulirudi kanisani pastor alisema tujiandae twende tour kwenye national park moja inaitwa Sehlabathebe National Park. Basi tujiandaa na kupanda coaster ambayo ilitumia masaa matatu kufika. Tulienjoy hadi jioni na kurudi pale kanisani tulilala mapema ili asubuhi tuanze safari ya kurudi south.
Sasa tulipofika pale boda ya kuingia south ndo kilitokea kizazaa. Askari wa migration walikua wakali kama wamekula pilipili za mto ruvu hawakutaka kucheka na kima kabisa siku hiyo ndo nilijuta kuwajua makaburu. Waligoma kua siwezi kuingia south maana permit yangu ilikua imeshaisha muda dah! Nilipagawa sana sikujua nifanyeje. Wale wenzangu waliruhusiwa kuondoka, waliondoka na kuniacha pale peke yangu tena chini ya ulinzi mkali kama wa mwendazake! aisee nililia sana nilipojua sitamkula Tsheispo baadae wale askari walinipeleka mahabusu.
Kesho yake nilitakiwa kupelekwa mahakamani lakini huwezi amini kolichotokea askari mmoja alikuja na kuniita kwa nguvu KEEGAN PAULO niliitika kwa uoga naam afande! Yule kaburu alinikata kibao akasema we nyani nikikuita itika Sir nipo Sir. Hilo neno Sir lilimaanisha bwana mkubwa. Basi bwana niliitika kama alivoniekeza. Alitabasamu na kusema njo unifuate nilitolewa nje wakati tunatoka nje nilishangaa kusikia mtu ananiita jina langu kabisa la Keegan Bashite nikazuga kama sijasikia. Mara akanigusa bega na kuniita kwa nguvu we Keegan amka.
Nilishituka sana kumbe nilikua naota. Aisee kumbe aliekua akiita ni Dada wa kazi! alimua akiniamsha nikale. Aisee ndoto za mchana mbaya nilikua nshafika south kimasikhara! Kumbe toka episode ya kwanza nilikua naota huku nakoroma kama jenereta bovu!! Lakini tuache utani Kanya alikua na tako balaa. Ngoja ninywe kiroba nilale nimechoka type. Mwe!!!!..
Mwisho
Akimaliza ntakusimulia rafiki..Usijali..lol vibaya hivoo!!