Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Kitu kimoja tukubaliaane Keagan Paul ni muongo muongo.
Haiwezekani alienda SA kwa mara ya kwanza 2012(stori tofauti)
Halafu kwenye huu Uzi anasema alienda 2014.(stori tofauti tena).
Yawezekana akawa muongo, ila kwa upande mwingine akawa yupo sahihi.

Unajua unapokuwa unaelezea story ya maisha yako, ni rahisi sana ku expose identity yako ya kweli, endapo watu wataunganisha matukio. So ukiwa huwezi kuweka codes vizuri, ni rahisi watu kukujua.

Mfano hebu jaribu kupitia story zangu zote utagundua vitu vifuatavyo:

1. Huwa nasimulia generaly bila kutaja mwaka. Hii inasaidia kwasisi ambao tunathreads kadhaa msiweze kututambua hata mkijaribu kuconnect dots

2. Story naweza nikawa nazungumzia matukio ya uhalisia, ila kwenye miaka, nikataja miaka ya zamani sana, ili kumfanya msomaji asiconcentrate kunijua mimi, bali awe kwenye story tu.

Kwahiyo waweza kuta hata jamaa aliamua kubadilisha miaka kwenye story yake, walau kuwapoteza wasomaji na waunga dots
 
samurai nimekupata Uzb ni kubwa ulikuwa wapi .
 
Mkuu nipe list ya stori zilizowahi kukimbiza humu JF hata za zaman before ile ya KHUMBU maana zamani nilikuwa sifatili sasa huu wa PAUL naona speed yake ya kuandika imeanza kuwa na mashaka.

Pia uniambie nyuzi,hizo zinapatikana jukwa lini.

Asante
Story zipo nyingi tu. Ambazo unaweza tumia wiki nzima unasoma
 
Kwa sasa nina ofisi mbili. Moja ipo Smit Street na Clein na nyingine ipo Edenvile hapa hapa J'burg. Mtaji wa mtu ni akili yake mwenyew, sio kila aishie kaburu ni muuza bangi au unga. Karibuni mapocho pocho wakubwa
Nyanya kama hizo kwenye sahani bei gani mkuu? Kwa bei ya madafu
 
Huyo KP vipi jamani? Si aseme tu kama hataki kuendelea na story? Nipo interested sana na hii story kwani kuna jamaa yangu mwaka 2007 alizamia SA.Alikuwa fundi mzuri sana wa photocopy machine.Nilijaribu kumshawishi asiende lakini akakataa.Alinifanyia mpango nikapata mtambo wa photocopy toka kariakoo kwa wahindi kwa bei ya kutupa.Baada ya miezi mi3 akanipigia simu nimtumie change iliyobaki kwenye ile photocopy kwani maisha yamekuwa siyo huko South.
 
uzi wa nan huu? weka link mkuu tusome

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app

Sitosahau siku niliyonusurika kuuliwa na Polisi wazungu South Africa
 

Jamaa ka coppy & paste, hana cha maana huyo.


 

Nakumbuka wakat Ndo naingia SA, nilikua nakaa Joburg Houghton estate, sehem wanayokaa wazungu tu wenye pesa zao, so kuna Siku rafiki yangu alikua anakuja kunitembelea around 7pm then we go out, Alikua anaendesha golf , ile tunatoka hata dakika kumi hazikuisha, magari kama matatu yakawa yanatufuata kwa kasi yakatusimamisha, katika maisha yangu hakuna siku iliyokua ngumu kama hiyo, basi wakatuambia tutoke nje ya gari kama tulivyo, nilivyoona ni polisi moyo wangu kidogo ukawa na amani Coz nilijua niko kwenye mikono salama na hatukua waalifu maana nilijua ni majambazi.

Basi wakaniuliza ID yangu, nilikua na passport nikawapa, waka search ndan ya Gari hawakupata chochote wakatuachia.

Nikamuuliza rafiki yangu kwa ninj wametusimamisha, akasema kwa sababu ya gari anayoendesha, huko SA yanatumika sana kwenye uarifu Ndio maana walitusimamisha.
 
Sasa utajuaje ndo mwandende mwenyewe katumia ID yake nyingine
 
South Africa ni kama Marekani ya Africa ndo mana kila Muafrica anataka akimbilie pale, na kinacho skitisha zaidi 100% ya wahamiaji 5% ndo wana kazi sahihi.. hawa wengine wanataka wakoke droo na wale local ambao wanaishi kule
 
Huu uzi umenigusa zaidi ya teke la pumbu
shida ni pimbi wachache ungekuwa umeisha zamani huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…