Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Mwana wa bashite nimepitia pg zote 116 alafu umetoa epsodes 17 hii haipo poa time waste
 
Ooh my gosh.........no but no if
una akili ya beberu,...
maisha mafupi sana
 
We mjuba mwanzilishi wa huu uzi siku ukiamuka ukakuta una mshipa mgongoni jua mi ndo nimekuroga maana si kwa alow motion hii unatupa taabu sana we MJUBA,
.
Hebu malizia story yako inatupa mzuka na ma confidence ya kujaribu maisha yoyote bila kusubiri mpaka uwe na mahela mengi ya kujihakishia usalama wako kumbe tunawwza enda mbele kwa mbele na sir god aka bless

Pia naanza kuamini yale mawazo tunayowaza sana kwenye maisha yetu ni kama maombi kwa MUNGU fikiria mtu anaji risk kwa maisha yale still kama ya jamaa na anatobo we amabae unajiendea tu bila kuwa na mawazo yanayokuumiza usiku kucha unaanza kukwama hapo msamvu na hata ukiomba msaada kama wale madogo waliochangiwa tunduma haupewi hata mia badala yake unaonekana kama tapeli fulani wanakukimbiza mbaya

Nasema ukipata nafasi ya ku risk life jilipue maana kuishi mara moja na kufa pia ni mara moja pia kwa maana kuna watu wamepita kwenye risk mpaka unapata imani za uchwi umetumika nn? wakati wengine wanasukumwa na akina LULU tena wako kitandani na wanakufa pamoka na umaarufu na hela aliyokuwa nayo

MJUBA MALIZIA HII KONA ULIYOIACHA UDENDA UNA MWAGIKA AISE

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
 
Huu ni uzi , kamba kambaleeee, kama ni shipa halijatahiriwa
 
Jamani mmuwie radhi mleta Story kakamatwa kwa makosa yake ya zamani baada ya story yake hii Balozi wa kule kasoma na katoa order Keegan akamatwe mara moja na kupelekwa South Africa kwa makosa ya rushwa na Kuover stay.. ndio tunahangaika kumuwekea mdhamana... mtakaoguswa michango itapokelewa na Stev Nyerere... au unaweza kutuma direct kwenye account ya wahanga wa tetemeko la kagera a.k.a zililiwa na meko
 
Binti Kiziwi nakuaminia achana nao wambeya wasikitie stress bure wabongo wengi fikra zao mwanamke yyote akienda mapuziko basi ni malaya au kenda kujiuza sasa hapo ndio wanapopataka .Mimi nilikutana na mwanamke wa Kenya Tbilisi Gorgia pk yake na toa tour guide wake tukasalimiana kwa kiswahili akasepa zake sasa tumfikirie malaya wacheni ujinga huo usiwe na mawazo mgando ya kuwafikiria wenzenu mabaya .
 
Haka kajamaa kajinga sana! Kalitaka tukafanyeje sisi? Kwanza hakuna aliyekalazimisha kuandika hapa bali kilikuwa kiherehere cha kenyewe tu!
 
Mnyiramba kwenye ubora wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu jamaa kuna uzi wake kaandika hii stori ila matukio hayafanani.
Mfano humu kasema alienda kuishi kanisani kule kasema alienda kuishi kwa demu.
Ni kama anatunga stori hebu utafuteni huo uzi baada ya kuuona nikapoteza hamu ya kuusoma huu mfululizo,hata yeye anajua watu wameisha mshutukia kuwa anatu ga hadithi.
 
Yaa,niliuona...upo sahihi mkuu
 

Ndio maana nilisema he is an idiot, it is most likely he has never been to SA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…