Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Usirogwe kwenda kujilipua Yemen njaa yake hata ya Darfur inauafadhali
Nchi yenye migogoro ndo safi kujilipua ili migogoro ikija kuisha tayari we ni raia na uzoefu tayari unao nja sio tishio kwenye hustler mzuri tushio kubwa ni kifungo kilefu gerezeni tu
 
;
pole na hongera sana mkuu
 
Uko boda ipi mzee
 
Hao wanaigeria ujuaji wao unawacost kila sehemu hawakubaliki kutokana na tabia zao za kishenzi,utapeli,wizi etc
Kinachosababisha wakimbie kwao ni umasikini na kwa sasa nchi yao hali ya kisiasa sio nzuri muda wowote kitawaka
Sio kweli , Nani kakuambia wanigeria hawakubaliki , UK ukiondoa wahindi wanigeria wanafuatia kwa kukubalia yaani hao wageni wanaongoza kukubalika , umasikini kwani tz ni Tajiri ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…