Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Hivi Kuna mtu anaeza kutoka nchi mwake akaja hapo bongo kutafuta maisha?
Wapo ukiwa unguja, kuna sehemu wanauza vitu vya electronics vya mtumba na vyombo vya mtumba panaitwa kwa mchina kama sijakosea. Kuna majamaa wana eneo lao kubwa sana na wanafungua vyombo kontena kwa kontena wale nadhani ni waethiopia nilipiga piga nao stori kiasi, wanafanana na wasomali, hawana kiswahili wala kiingereza cha kueleweka.

Mmoja aliniambia yeye alijilipua kutoka kwao ethiopia kwenda kwa kaka yake UK, alivyoona kuna vitu vya mtumba vinakuja huku fro UK akaunga tela kujilipua kuja zanzibar. Kwa mzigo wanaoshusha wale ni matajiri wa kati au wana hela tu yakuwatosha kwa sasa. Wapo kadhaa kama watano hivi sehemu yao hiyo ya biashara. Nilivyomuuliza kwanini atoke UK aje huku akanijibu aliona ni njia rahisi kwake kupata pesa huku kuliko UK ambapo angeishi vizuri-kawaida, huku anatafuta mbesa nyingi.
 
Aha Sasa mkuu na wewe ungeunga nao tu Kama vip upige nap biashara
 
sahihi kabisa, huku mkuu wapo wengi sana wanaodeal na hiyo biashara, sio hao tu kwa kwa Mchina, wapo Waithiopia, Wasudan na Wamisri kibao, na biashara yao ndo hiyo kuleta used za electronics
 
suala la kupost ulijichanganya sana chief..
 
Nishamaliza trip hizo mikoa yote, Tanzania na nchi kadhaa kama 16 Afrika, na asia nchi kama 5 now nipo porini ten years back ndio nilikua na hiyo misafara ndio maana nakumbuka maeneo mengi nimeyataja kwa majina kabisa Mkuu
D
 
Sio kweli , Nani kakuambia wanigeria hawakubaliki , UK ukiondoa wahindi wanigeria wanafuatia kwa kukubalia yaani hao wageni wanaongoza kukubalika , umasikini kwani tz ni Tajiri ?
Naona kuna watu mnatumia nguvu nyingi kuwatetea Popo,hao ni washenzi wa tabia hawabadiliki na sasa hivi wanakimbilia bongo na dili za ni wizi wa mitandaoni(card fake) za benk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…