Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Ya napitaga sana mitaa hiyo.. nitakuja inbox tujuane
 
Afu hajatuambia Kanya alikua mtu wawapi, asili ake, mzulu n.k

@Kaegan paul Ukipata muda jibu hii
Mzulu halafu apangiwe ghetto na kanisa. Halafu Kanya ana trako na bikra (concurrently?) Huyo SI angedanga Kama dada zetu bongo movie tu. Tomas ungevizia kalala ummwagie mafuta ya kula huko DAWASKKO akiamka Ile anatembea anashangaa hatua zinaongezeka. Akili ingemkaa sawa
 
Punguza ussenge basi mkuu AgentX ufanye vitu vya maana.
Kwani tako ndo linaandika uzi au vidole!

Mpoje nyinyi!!

Anakustress uweke hiyo maliasili ya kimataifa aione hata kwa picha haujawajua vijana hawa tu wakisikia mbuga ya wanyama imesheheni maliasili ya kimataifa wanawaza kutalii tu ndio akili yake huyo
 
jamaa ni fala sana... ngoja nimpe muda kwa episode inayofuata
 
Anakustress uweke hiyo maliasili ya kimataifa aione hata kwa picha haujawajua vijana hawa tu wakisikia mbuga ya wanyama imesheheni maliasili ya kimataifa wanawaza kutalii tu ndio akili yake huyo
Afu namna hiyo ategemee uchumi wa kati upande mpaka 95%
Ia nimewashtukia...sidanganyiki.

Keagan Paul tuendelee na matangazo ya udhamini?
 
Konda makosa ya kiufundi hayo yanatokea....

[emoji117]May be kwa kuwa alikua mpya akawa anajua wanaficha mdomoni maana ndio alianza kujifunza.

[emoji117]May be ile kurudi usiku sana ndio maana akawa anasema wanafanya kazi kama punda. Kuna sehemu alisema walilala saa 11 alfajiri na kudamka saa 1 asubuhi.... Si mchezo...

[emoji117] Hadithi yake mpaka sasa haionyeshi kuwa ametimiza hata miezi mitatu hapo SA. Na inaonekana hakuwa na ABC za sheria za huko, na hata aliokutana nao hawakuwa wamempa tahadhari ya vibali. Inawezekana alianza kusambaza barua bila kujua anaweza kudakwa au tuseme kama alivyosema aliamua kujilipua tu maana ndio kilichompeleka. Inawezekana ilikua bahati yake kutodakwa mapema 40 hazikufika....

[emoji117]Kumbuka alijiingiza kwenye kanisa na elewa mara nyingi watu makanisani huwa wanaweka wahamiaji sana. Nenda hata makanisa yetu haya ya kilokole utakuta wakenya wanyarwanda kila taifa wapo wanaishi bila vibali....

MAPITO NI TOFAUTI EXPERIENCE YAKO SI YAKE.....
TUMPE MUDA AELEZEEE KWA NAMNA ALIVYOISHI....

Ila pia KUDOS kwako umempa hint pale palipokua sio sawa.....

Jamhuri ya JF.... story iendeleeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…