Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Unataka kunambia kuna wanaijeria wengi hapa bongo? Makazi yao hasa ni wapi? Na wanajishughulisha na nini wengi wao?
Nenda pale Agha khan Hospital then waulizie wanaija ma specialist pale, ndio utaelewa.
 
Wasomali wanashirikiana hata hapa kariakoo kwenye madjka ya vifaa vya stationery/ computer Laptop/dektop & Accessories

wapo wengi sana ...nahisi hata mzigo wanaagiza kwa pamoja maana kola duka product wanazouza ni zile zile hazina utofauti.
Wametake over sana hata wahindi wamepungua
 

Labda pia ange kuwa specific hiyo South ya Mwaka ngani.
 
Unazungumziaje baadhi ya wanaume choka mbaya walio hapa bongo wanaoendelea kuwaponda single mothers kuwa hawafai kuolewa?
Alafu hao hao.wanaoponda single moms kuutwa kuomba omba vielfu 10 kwa hao singleparent .mie nachekaga sana jamani...! Mtu hana msos siku 2 lakini huku anavyojimwaga sasa kuwachana single mom! Jion anaomba kwa hao hao single mom...uehehehee
 
Haya sasa kijana wa khumbu Mwenye SA mkononi amekuja, huu uzi utaisha kweli [emoji848][emoji848]
 
Umejadiri jambo la msingi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…