Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nimekaa huko ila kuna vitu kama sembe naona hakuwa na dili nazo,wauza sembe wanapesa sana na ndo dili kubwa unaweza kutoboa.mwakani nitarudi maana maisha ya kule rahaa sana
 
Mwandiko wa shemasi huu [emoji1787][emoji1787], sema hongera kwa kufuatilia uzi hatua kwa hatua na kuuelewa, binafsi nimeelewa ufafanuzi huu
 
We ndugu acha kijiona msafi sana, watu wanapiga story zao kusogeza uzi, hao unaowaita madanga hawajawahi kukudangia, na hao malaya hujawahi kuwafukunyua, acha umbea mtoto wa kiume relax tusubiri story iendelee
😁😊😁...ndo naona hiyo nw .hahaaa .. ukute mfukon8 ana 800 za kurudia kwake
 
Oy unaharibu uzi huu kausha Basi. Samahani lakini
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣😍..yatosha mama lao
 
L

Haaah haaah!!!mwana acha hizo,wewe mwenyewe kwenye story yako ya KHUMBU kuna mambo kibao yalikuwa yanaleta utata kwa watu wanaoijua South vizuri ila tulitulizana tu mpaka mwisho,sasa muache jita amalize story yake naye!!!
 
Nyie ndio mmekuja kuharb Uzi anzisha Uzi wako wa matako makubwa ndege mnaofanana mtapaa pamoja watu tunajifunza maisha ya South ili tujue tutaingie huko ww unakuja kutangaz ujinga
 
Konda Msafi

Naomba niwe upand wa Mtoto wa mstaafu kwa hoja mbili

1. Mkuu kusema kuwa mademu wa hadhi fulani unawajua hiyo statement iko too general na kwa namna moja ama nyingine haina uhalisia..ni kama vile sisi wabongo tunapowazungumzia wakenya utasikia tunasema 'wakenya wenzetu wako active sana kwenye kazi kuliko sisi tuna uvivu mwingi', at same time wakenya nao watakuwa wanatuzungumzia kuwa sisi watz tuko so active sana kwenye kazi kuliko wao...hizo ni general statements ila kiukweli kuna wavivu ndani ya nchi zote mbili.

2. Kiufupi tu mi naona story teller yupo sahihi..inabidi tuelewe story kama ilivyoletwa na tukitaka kupitia neno hadi neno tutakua tunakosea.. So mkuu konda msafi hizo statement zako ni too general na haziapply kwa wote. Pengine wabongo uliowaona ndio walikuwa wanakula bata ila walioonwa na Keagan Paul wenyewe wanafanya kazi kama punda. Hakuna kati yenu aliyewaona wabongo wote, au aliyewaona wahamiaji haramu wote wanaoishi south au aliyeishi na warembo wote..so statement uliyotoa bwana Konda ni sahihi kwa watu uliowaona ila haiapply kwa wote.

Ni kama vile weweau mtoto wa mstaafu mnavyotuambia mademu wa south ni wazuri kinoma ila kiuhalisia hiyo ni general statement na sio uhalisia kwa wote. mmeitoa hiyo statement kwa kufanya reference kwa watu wachache mliowaona ila kiuhalisia mademu wengine na wengi tu ni wakawaida kama hao tunaowaona kila siku kwenye isdingo, kipindi cha kombe la dunia na kwenye taarifa ya habari.

kiufupi tuielewe story kama ilivyoletwa tusije na generalized arguments ambazo hazijawa proven.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…