Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

They don't know that they are learning.....usilaum saaan bongo nyosoo baada ya kujua mitandao
 
Tafiti zinasema Siasa za Ujamaa zinaongeza nyege kwa wananchi wake.
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Mimi nimekaa capetown miaka mitano..bahati nilikua na permit ya kusoma. Ila niliona wabongo wengi sana wakipata shida hiyo ya kuishi na expired visa. Yaani huishi kwa amani na kila ukiona polisi presha inapanda.

Na mimi nataka nijue keagan alisafiri vipi kwenda lesotho visa yake ya SA ikiwa imeexpire...maana pale border wakiswap passport yake system hapo hapo inawashtua kwamba huyu mtu akamatwe kwa kuoverstay. Na kama hawajamkamata lazma wajieleze kwa wakubwa zao maana system inatuma taarifa. Na kama alitoka na kuingia lesotho alirudi vipi SA? Maana adhabu ya kuoverstay ni kwamba huruhusiwi kurudi SA kwa miaka mitano.

Na mimi nasubiri sana ufafanuzi
 
Ha ha ha kila uzi wenye watu wengi wanatumia fursa KUDANGIA. Yaani kila kitu wanajua, kila nchi wamefika. Nawapigia saluti hawa malaya/wadangaji wa jf.
Ki ukwel wanasikitisha sana wanapeana na mbinu za kuwapata matajiri ili waolewe katikat ya Uzi wa mtu tena uzi unatufundisha watu mwingine anamatako makubwa wengine kukosoa hebu tupunguze ujuaji kidogo hata mleta Uzi nikituma hii episode sijui watanikosoa tena kuna mmoja alileta Uzi wake humu alikua akikosolewa anasusa na kutishia kuto kuendelea nashangaa kwenye Uzi huu kawa mkosoaji no 1 mkuu unaharb Uzi kama anakosea mwache hivyo hivyo (mgombea urais 2025) umejijua
 
Hzo road trip huwa nawaza itapendeza zaidi ukiwa na hii kitu toyota coaster camping,afu ndani iwe na chumba,choo,jiko na sebure,afu mtu nne,ke mbili,me mbili,baada ya kutulia geita mnaingia rubongo mnaenda kunasa samaki na kuchoma na kushangaa tembo baada ya siku mbili mnaingia rock city tena mnaingia mida ya saa 6 mnatulia kwenye kivuli cha paa la nyasi mnamalizia wine zenu mlizochukua domu mixer spirit
 
Kabisa mkuu. Subiri tumsikilize mtoto wa mstaafu tuone alivukaje hiki kihunzi.
 
Sisi hayo mengine hayatuhusu, tunachosubiri kusikia ni Kanya,, Kanya tena!
 
Kabisa mkuu. Subiri tumsikilize mtoto wa mstaafu tuone alivukaje hiki kihunzi.
Mimi niliona hayo maisha nikasema siwezi kuishi hivyo. Kama siwezi kuishi nje kihalali bora nirudi tu bongo...maisha magumu lakini angalau unapambana kwa amani...maisha ya paka na panya na immigration ni maisha ya hovyo sana
 
Mkuu weka episodes zote hapa kwenye ukurasa huu wa kwanza kama ulivyofanya hizo sehemu 1 - 9
 
Sisi hayo mengine hayatuhusu, tunachosubiri kusikia ni Kanya,, Kanya tena!
Wale wanaosisimuka na stori za kikanya kanya waende kwenye jukwaa la mapenzi..kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara watakata kiu yao[emoji23]. Huku tubaki watu serious
 
Hivi story yake imeisha? Mpe uhuru wa kuandika story yake.
Ujasiri na unachokiamini, wakati mwingine ni silaha tosha kwenye kufanya jambo—hata likiwa la hatari.
Kuna watu huwezi kuwaona ofisini bila appointment na wao kuwa na details zako. Lakini kuna watu wanaingia bila appointment wala kufahamika. Confidence, knowledge, belief na kuwa positive itafanya ufanye yale yanayoonekana hayawezekani.

Relax bro, tunajua ulikuwa na story yako na huyu pia yuko na story yake. Mpeni uhuru.
 
Mimi niliona hayo maisha nikasema siwezi kuishi hivyo. Kama siwezi kuishi nje kihalali bora nirudi tu bongo...maisha magumu lakini angalau unapambana kwa amani...maisha ya paka na panya na immigration ni maisha ya hovyo sana
Tena kwa Gauteng bila permit huwezi kulast hata mwezi bila kudakwa labda uwe unashinda ndani. Miji mingine unaweza kuishi bila permit ila Johannesburg never. Kuna wabongo flani walikuwa wanauza matunda pale MTN tax rank, downtown Joburg, kila nikipita maeneo hayo lazima nipige nao stori mbili tatu. Enzi hizo nilikuwa bado nipo high school, walikuwa wana permit hizi za ukimbizi, lakini pamoja na kuwa na permit bado wazee walikuwa wanazichana chana hizo permit zao na kuwakamata na kuwapeleka Lindela, so kila nilipokuwa nikienda kuwasalimia walikuwa wananiambia flani kakamatwa, flani kakamatwa. Unaweza kuona jinsi kulivyo kugumu kuishi bila permit Johannesburg.
 
Hiki kitu ndo kinanikwaza sana ...mwanamke ukijipeleka sehemu kama KFC kurefresh kwa hela yako watu wanadhani unadanga...ukinunua kagari kwa saving zako wanahisi umehongwa...ukianda cheo kazini kuna watu wapumbavu wanahisi unatembea na boss...watu wanawaza ngono ngono ngono muda wote
Mimi ni mwanamke sex ni part muhimu sana ya maisha lakini sio first priority katika maisha na sipendi initawale...napenda sana kuwa na marafiki wa kike na kiume ila sipendi kutongozwa...najikuta napata wakati mgumu kwa baadhi ya watu...ukimchekea tu kashawaza kukufunua nguo...come on maisha ni ziadi ya sex...watu hawawazi productive friendship bila ngono...and i hate that...ngono ngono ngono why?!
 
Ukweli ni kwamba ni nadra sana mwanamke na mwanaume kuwa marafiki tu. It happens once in a while ila ni ngumu. Hata hao marafiki zako wa kiume i can almost guarantee one or two of them wamewaza sana kukuonja na wanasubiri opportunity
 
Yes gauteng nasikia ni noma. Mimi nilikua naishi mji mdogo nje ya capetown unaitwa somerset west. Pale immigration walikua sio wakali sana enzi hizo..labda sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…