Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Hahaha[emoji16][emoji16]
 
Ntarudi badae
 
Na mm pia
 
Si tu Tanzania hayo ni miongoni mwa madhara ya mitandao ya kijamii ukiachilia mbali faida zake lukuki.
 
Rejea kitabu cha mbio za jasusi... Haahahhhahhh watu wana bahati zao lakini kuishi ughaibuni bila permit ni sawa na kulala chumba kimoja na chatu mwenye njaa.. Kama hapo Kenya tu inakuwaga msala cjui SA inakuaje.. Anyway tuendelee kunywa mchuzi nyama zipo chini
 
Watu wengi yakishatukuta ndiyo tunaamini binafsi nimeelimika vyakutosha kuna vitu nimejifunza na kuna vitu si vya kujaribu labda itokee kama sina namna yakufanya ila tu ni njia ya kunifikisha kwenye safari yangu. Huwezi kuelezea kile mtu anachotaka kusikia isipokuwa eleza kile unachokijua.
 
Nakukunda
 
Pole hujapata mwanaume wa kukukunja vizuri pia hujapata mwenye tango nene pole sana dada ila ukipata mda njoo kwangu ili ukasimulie wenzio
 
Vailetii we ndo kekii mwngne fekii natamani uwe alizetiii nileee[emoji444][emoji445]

Jamaa kashatekwa na Mr Y huko maana pale alipomtaja vaileti tayari kashamuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…