Nilivyompiga chini mchepuko mtarajiwa

Nilivyompiga chini mchepuko mtarajiwa

Kuna siku nilileta uzi humu, kuhusu mchepuko mpya niliyekutana naye, na akaniomba nimuongezee mtaji ili aweze kujiajiri.

Kutokana na mtaji alio uomba ulikuwa mkubwa kiasi fulani; sikuwa mwepesi kutimiza mpaka pale baadhi ya vitu niweze kujiridhisha.
, Baki njia kuu
 
Back
Top Bottom