Nilivyomrudishia jamaa mali yake bila kuigusa

Hapo sasa nimekubali uwezo ,imecheza kete zako fizuli kama mwanaume mwenye msimamo

Eka wangekuwa wenzangu fulani ingekuwa ni kasheshe
 
Nakupongeza Kwa Kushinda kishawishi hicho. Hukushinda Kwa ujanja wako Bali ni MUNGU alikuongoza
 
Hii Doumbia ulipewa pasi Safi ya cross badala kufunga ukapiga kichwa kuokoa..πŸ˜„
Kuokoa ndoa ya mtu.
Ametengenezewa pasi hajalenga goli yeye kalenga gari
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Lakini huo ndiyo uwanaume wa kweli hakuna kula wake za watu .
 
Wacha urongo hakuna kijana shababi wa hivyo. Niliwahi kufanyaga hivyo tena chumba kimoja na kitanda kimoja lakini nilihisi ameathilika. Ni sababu hiyo tu.
 
Kuna wakati lazima unakuwa na maamuzi magumu sio mke wa mtu
2012 Nishawahi kutotafuna mke wa mtu na tulilala wote chumba kimoja, ni ngumu kuamini lakini ni dawa kutojitakia kifo cha kizembe, ulemavu, kumwagiwa tindikali, kulawitiwa, kuwa kichaa kwa kurogwa, zinaa na UKIMWI, kujiepusha na mikosi na athari za sintofahamu nyingi tu.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Wakati unafanya hivyo, huku nyuma Kwa Mpenzio na Jamaa: Kuna muda ilichomoka akaishika fasta na kurejesha...
 
Mfano bwanaake Angel angesafiri na mke/demu wako yakatokea mazingira ya hivo angemuacha?
 
Hadithi za kutunga, kosa la Yanga kukubali kufungwa ndiyo matokeo haya!
 
Akaniambia nakuachia huko mbele 😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…