Ni zaidi ya historia.historia
Inatosha kaka ,leo sasa nimekujua rasmi wewe ni nani .Kwanza kabisa mimi si mpagani, ila wewe ni mjinga.
Pili wewe ni limbukeni mtu akiwaambieni tu acheni ushamba wa kushobokea magari na vyeo vya serikali za kishenzi hizi mnaona lazima itakuwa ni wivu tu.
Mimi nimeanza kutembea corridors za Ikulu tangu niko tumboni mwa mama yangu, kabla sijazaliwa.
I was there at the Ikulu parties with Kaka Mako na kina Greemy before Greemy went to Ethiopia and then Italy back when Ikulu was Ikulu and the pesident was the president. That's before Hashim Mbita for you when Ambassador Magombe used to run the show.
I was there when Balozi Ben Mashiba was in the Presidential Protection Unit, sharing his Upanga Maliki Rd flat with Edward, before Edward got married. I was there at Edward's wedding.
Insider wa Ikulu Tanzania muda mrefu atajua.
I was there when my mother was at Ikulu, my uncle was Nyerere's propaganda man and another Uncle was heading Usalama.
Mimi si mahamba wa vyeo vya serikali. My father was a presidential appointee by both Mwinyi and Mkapa.
I was there translating the Dhamapada into Swahili with Andrew like a true Brahmin.
I was there when Abbas was creeping for hookers at Oysterbay Hotel in his Mitsubishi Pajero Intercooler Wagon
I was there when Salama was new in town, hiding in her Ikulu room, away from her country cousins from Zanzibar.
I was there when Mkapa was toasting Peter and drinking his highland single malt double doubles until he passes out, to be waken by Ernest.
I was there before he was president at the children parties with the Maros.
I was there at Mfaume, Sea View, Palm Beach Hotel soarees and Etienne's dances.
I was there when Museveni left his Ikulu apartment in Upanga without paying his TANESCO and water bills. Even the Muhimbili taxi drivers were stranded by Museveni.
I was there when Kighoma Ali Malima was fudging budget numbers.
I was there when Col. Seif Bakari was writing notes to Col. Fabian Massawe to get underprivileged kids into Jitegemee.
I was there when Judge Warioba was chatting with Ambassador Opanga about the presidency. When he was going to OFC matches and attending Gotta Iries Reggae Bash.
Wakati huo MwanaFA hakujua hata kupenga makamasi. Baadaye sana tulikuwa tunamuona anapelekwa shule na bibi yake.
Hayo magari makubwa makubwa ya serikali nimepanda tangu mdogo mpaka nimeyachoka.
Sasa hivi naendesha yangu mwenyewe nime park SUV ya Mercedes Benz GLE 450 4MATIC na Beemer hapo nje, tena Beemer X5 nimemuachia mtoto wa High School hajafikisha hata miaka 18 anaenda nalo shule, akirudi anaenda nalo gym.
Sina shobo na magari, gari ni chombo cha usafiri tu.
Sasa nawezaje kuwa na wivu na watu wanaopanda magari ya serikali ya kazi za lawama sana?
Mimi nimejiapiza sitafanya kazi ya serikali Tanzania.
Mtu anayepata unaibu waziri leo naanzaje kumuonea wivu wakati ni unaibu waziri wa lawama tu katika serikali iliyojaa damu kwa
Heshima yako mkuu, naona umeua mende kwa bunduki.Kwanza kabisa mimi si mpagani, ila wewe ni mjinga.
Pili wewe ni limbukeni mtu akiwaambieni tu acheni ushamba wa kushobokea magari na vyeo vya serikali za kishenzi hizi mnaona lazima itakuwa ni wivu tu.
Mimi nimeanza kutembea corridors za Ikulu tangu niko tumboni mwa mama yangu, kabla sijazaliwa.
I was there at the Ikulu parties with Kaka Mako na kina Greemy before Greemy went to Ethiopia and then Italy back when Ikulu was Ikulu and the pesident was the president. That's before Hashim Mbita for you when Ambassador Magombe used to run the show.
I was there when Balozi Ben Mashiba was in the Presidential Protection Unit, sharing his Upanga Maliki Rd flat with Edward, before Edward got married. I was there at Edward's wedding.
Insider wa Ikulu Tanzania muda mrefu atajua.
I was there when my mother was at Ikulu, my uncle was Nyerere's propaganda man and another Uncle was heading Usalama.
Mimi si mshamba wa vyeo vya serikali. My father was a presidential appointee by both Mwinyi and Mkapa.
I was there translating the Dhamapada into Swahili with Andrew like a true Brahmin.
I was there when Abbas was creeping for hookers at Oysterbay Hotel in his Mitsubishi Pajero Intercooler Wagon
I was there when Salama was new in town, hiding in her Ikulu room, away from her country cousins from Zanzibar.
I was there when Mkapa was toasting Peter and drinking his highland single malt double doubles until he passes out, to be waken by Ernest.
I was there before he was president at the children parties with the Maros.
I was there at Mfaume, Sea View, Palm Beach Hotel soarees and Etienne's dances.
I was there when Museveni left his Ikulu apartment in Upanga without paying his TANESCO and water bills. Even the Muhimbili taxi drivers were stranded by Museveni.
I was there when Kighoma Ali Malima was fudging budget numbers.
I was there when Col. Seif Bakari was writing notes to Col. Fabian Massawe to get underprivileged kids into Jitegemee.
I was there when Judge Warioba was chatting with Ambassador Opanga about the presidency. When he was going to OFC matches and attending Gotta Iries Reggae Bash.
Wakati huo MwanaFA hakujua hata kupenga makamasi. Baadaye sana tulikuwa tunamuona anapelekwa shule na bibi yake.
Hayo magari makubwa makubwa ya serikali nimepanda tangu mdogo mpaka nimeyachoka.
Sasa hivi naendesha yangu mwenyewe nime park SUV ya Mercedes Benz GLE 450 4MATIC na Beemer hapo nje, tena Beemer X5 nimemuachia mtoto wa High School hajafikisha hata miaka 18 anaenda nalo shule, akirudi anaenda nalo gym.
Sina shobo na magari, gari ni chombo cha usafiri tu.
Sasa nawezaje kuwa na wivu na watu wanaopanda magari ya serikali ya kazi za lawama sana?
Mimi nimejiapiza sitafanya kazi ya serikali Tanzania.
Mtu anayepata unaibu waziri leo naanzaje kumuonea wivu wakati ni unaibu waziri wa lawama tu katika serikali iliyojaa damu kwa mtu anayejielewa?
It's time to set the record straight.Heshima yako mkuu, naona umeua mende kwa bunduki.
and it has perfectly been.It's time to set the record straight.
Yaani ndo bahati zenyewe mbona hujapewa wewe?Hajapambana, alipewa tu ubunge na jiwe.
Waswahili huwa mna maneno mengi ya kusifu na kuwapamba watu yasiyo na maana, mantiki na mashiko yoyote.
Jomba wewe kukulia Ikulu haimaanishi huwezi kufurahishwa na kupongeza mafanikio ya wenzako kisa tu kwako wewe ni jambo dogo. Hakuna mtu aliyeamua azaliwe wapi na mzazi yupi. Lakini ni kawaida kwa diaspora wengi wa USA kuwa na matatizo ya akili japokuwa shule wameenda. Wewe na Mange ni mfano hai wa diaspora wa USA wenye matatizo ya akili.Uchungu ubauona wewe huwezi juelewa mtu hataki teuzi za serikali ya Tanzania.
Mimi nimeitwa na balozi wa Tanzania UN niende nyumbani kwake, kuongea na yeye na rais Kikwete nipangwe kwenye hizo teuzi nikirudi Tanzania.
Nikampa balozi udhuru tu nikisema ningetamani kuwa nao wakuu, lakini nina kazi nyingi zikizokwishapangwa awali.
Nikikataa kujutana na balozi na Kikwete kuunganishwa kwenye pipeline ya teuzi hizi.
Kabla Mwana FA hajafakamia teuzi.
Sasa mimi nimechukua uraia Marekani na hang out Cipriani Wall Street. Nimeshajitia kwenye kushobikea hizo teuzi mwenyewe.
Uteuzi wa serikali ya kishenzi Tanzania nilishakataa mwenyewe nakwambia, huelewi wapi?
Mafanikio gani?Jomba wewe kukulia Ikulu haimaanishi huwezi kufurahishwa na kupongeza mafanikio ya wenzako kisa tu kwako wewe ni jambo dogo. Hakuna mtu aliyeamua azaliwe wapi na mzazi yupi. Lakini ni kawaida kwa diaspora wengi wa USA kuwa na matatizo ya akili japokuwa shule wameenda. Wewe na Mange ni mfano hai wa diaspora wa USA wenye matatizo ya akili.
Mwana Fa baba yake alikuwa wale wale ... mtoto wa wale wale na yeye ni wale wale...kwakweli namlamu sana babu ila namshukuru sana babu...!View attachment 3507319
My people,
Hakika hakuna ajuaye kesho yake, hata wewe kamwe usije kujikatia tamaa katika maisha kwahika siri ipo kwa Muumba wetu.
Haimaanishi kwamba nawe utakuja kutamba na VAT laa,namaanisha kwa safari yoyote ya maisha uliyokuwa nayo basi haijaisha mpaka iishe, kwa hiyo endelea kupambana bila kuchoka na amini ipo siku moja nawe utashaini tu
Back in the days, nikiwa ndani ya ukumbi wa Bilcanass pale posta mpya,wakati huo Mwana FA alikuwa anazindua album yake akiwa pamoja na East Coast Team kama kumbu kumbu zangu zipo sawa
Alikuwa amevaa jezi ya team ya mpira wa kikapu Maana Enzi hizo Basketball kama ilikuwa ina mwamko sana, kichwani akiwa amesuka msuko wa twende kilioni, yaani ile kinyamwezi sana, dah ilikuwa way back
Guess what? Today ni Naibu Waziri kitu ambacho hata yeye wakati huo huenda hakuwahi kabisa kufikiria au kuota ndoto hiyo japo kiutani utani, hiyo ndio siri ya maisha ilivyo
Endelea kufunua page za maisha yako huwezi jua page ya mwisho kabisa ikawa na matokeo bora kabisa
Kukata tamaa ni Sumu, endelea kupambana
Ni hayo tu!
Nimeipenda hiiInatosha kaka ,leo sasa nimekujua rasmi wewe ni nani .
Heshima yako mkuu wangu ,wewe ni kaka na wewe ni miongoni mwa wale role model wetu ,ahsante
Kaka unamaanisha nini ?Nimeipenda hii
Elimu ya mtoa post inatia shaka 🤣🤣🤣 mapopoma mengi.v8 inaitwa VAT .mandasi wameleta shida kubwa .View attachment 3507319
My people,
Hakika hakuna ajuaye kesho yake, hata wewe kamwe usije kujikatia tamaa katika maisha kwahakika siri ipo kwa Muumba wetu.