Nilivyonaswa na Shangingi wakati natafuta ghetto

takataka
 
Hebu weka picha yako tuone kama kweli ni handsome maana mwenzio mm ni mjukuu Wa nabii Yusuf ila sivamiwi kishamba hivyo
 
Hebu weka picha yako tuone kama kweli ni handsome maana mwenzio mm ni mjukuu Wa nabii Yusuf ila sivamiwi kishamba hivyo

Hahahaha. Kwa kweli mimi siyo handsome nadhani nabebwa na urefu tu!
 
Vipi alijufundisha namna ya kugonga kachabali?
 
We una matatizo sio bure, hiyo aya ya pili toka mwisho inaonyesha.
 
utakuwa mzuri , ndio kuna sura zingine zinapendwaga tu hazinaga hata kumi lakini ndo ivyo
 
utakuwa mzuri , ndio kuna sura zingine zinapendwaga tu hazinaga hata kumi lakini ndo ivyo

Hahhahaa! Nina experience mbaya na wanawake wengi kiasi naogopa wakati mwingine kuwa karibu na wanawake!
 
Wanaume halisi inabidi serikali ijitihada kwa kina kutuweka makumbusho ya taifa kwani mpaka 2030 nchi hii itakuwa na vijianaume uchwara kama mleta mada
 
Hahhahaa! Nina experience mbaya na wanawake wengi kiasi naogopa wakati mwingine kuwa karibu na wanawake!
fanya uoe sasa izo sperm zitaishia uko nje ujute baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…