Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
takatakaSalaam wana jamvi!
Wajuzi wanasema kua yuaone. Kama tunavyohua mabachela watafutaji hususani wanao anza maisha wengi wetu tuliotokea kwenye familia dhaifu kiuchumi tunaanzia kwenye ghetto ndo maisha yanapanda kadiri jitihada zinavyolipa.
Sasa nakumbuka mwaka wa 2008 maisha yalianza kunionyesha taa ya kijani baada ya kuishi buguruni, mabibo kule dampo mapene kidogo yakajionyesha nikaamua kuhamia kwa wajanja sinza Ila nisingeweza bado kulipia vyumba viwili so nikawa natafuta chumba kimoja.
Madalali wa pale Palestina wakanipa mchongo kwamba kuna mwanamke mmoja amechukua almost nyumba mzima Ila kuna chumba kimoja kama kinajitegemea hivi anakipangisha wakasema nikakione. Kwenda kukiona chumba walituandaa masela wawili, Mimi na kaka mmoja wa kichaga.
Baada ya kuona chumba wote wawili tulikipenda ikabaki mwenye nyumba ndo aamue kati yangu na yule mangi. Jioni nikapigiwa simu na dalali kwamba dada ameamua kunipangisha, kilichofuata ni utaratibu wa kulipa kodi na kuhamia.
Nilipohamia nikaja kugundua yule dada hana mume Ila anamiliki grocery yake na vijibiashara vinamuingizia vyakumtosha mjini alafu alikuwa anaishi na wadogo zake wawili. Chumba changu kilikuwa kwenye korido na kulikuwa na mlango ambao ulikuwa unafungwa unaotutenganisha na wao japo mara kwa mara ulifunguliwa pia ilipohitajika.
Kwa kawaida yangu sikuwa nafunga mlango wangu coz ni chumba cha ndani baada ya kufunga ule wa nje, wangu nilikuwa naurudishia tu.
Siku moja nilipokuwa nimelala nashangaa mtu ananiita ameshaingia chumbani hivyo anafanya kuniamsha. Ile naamka! Duh! Dada mhaya yupo na kanga tu kudadadeki, na tayari anapanda kitandani mashallah. Mwenyewe kipindi hicho sina girlfriend, hapo kwanza ndo akatiririka kwanini alinichagua badala ya mangi eti alinipenda toka aliponiona na mangi angeishia kunywa pombe tu mwisho wake kushindwa majukumu.
Nilimpakua siyo kidogo maana nilikuwa na ukame Ila shida ikaja baadae kila akirudi kwenye biashara zake akiwa na mawenge huyo siku zingine chumbani kwake siku zingine kwangu.
Tulikuja kushindwana pale alipoanza kunishawishi niache kazi eti awe ananipa pesa ya kujikimu na mengine Ila niwe naye full time. Kwa kweli nilimgomea hasa na alimind kichizi tukaanza kupoteza dira pale pale maana sikumpenda, alinizidi umri lakini zaidi ya yote nilikuwa na malengo yangu kwenye maisha of which yeye hakuwa moja ya malengo so nikamtolea nje na nikafanya utaratibu wa kuhamia kimara kwenye nyumba yenye nafasi zaidi chumba kimoja, sebule na choo nikawa nimepiga hatua kimapene ukizingatia nilipotoka.
Ila kwenye maisha yangu kwa kweli nimeangukia mitego ya wanawake wengi mjini sijui kwanini mpaka siku moja kwenye duka la miwani ya pale Palestina nilienda kutengeneza miwani yangu dada mhudumu wa mle alikusanya ujasiri akaniuliza "wewe kaka husumbuliwi na wanawake?"
I felt embarrassed na nilishindwa kumpa jibu la kueleweka!
Hebu weka picha yako tuone kama kweli ni handsome maana mwenzio mm ni mjukuu Wa nabii Yusuf ila sivamiwi kishamba hivyoSalaam wana jamvi!

Yaani alikupeleka kwenye gulilo la kijiji cha katerero au huko hakukufikisha?Ndo nini?
Basi hukufaidi..Hata kwa dawa
fanya uoe sasa izo sperm zitaishia uko nje ujute baadaeHahhahaa! Nina experience mbaya na wanawake wengi kiasi naogopa wakati mwingine kuwa karibu na wanawake!
Sina.Tatizo ninalo kwa kweli. Wewe huna kabisa tatizo maishani?
Kaka [emoji38] [emoji38] [emoji38]Daah wanaume tumepungua sana I see!
Kukosa kifua cha kuhifadhi ni udhaifu mkubwa sana