Unaweza fikisha ujumbe Bila ya kupotosha Na kuleta taharuki kwa jamii nadhani unatakiwa ubaki huko kwenye organic farming hiki unachotaka tubishanie apa hakina maana kabisa waweza chukua ushauri au ukauacha chiefSi lazima niwe na njia moja ya kufikisha ujumbe, ujumbe huwafikia watu kwa njia mbalimbali
But ukitumia mifano ujumbe unafika na kueleweka zaidi
Mkuu usiwe too rigid pls
Comment ya hovyo kabisa hii.Mwisho wa siku maradhi yote hayo hupelekea kifo.
Tusiogope kufa hatutaishi milele mkuu.
Hahaha haya ni wamazo yako tu mkuuUnaweza fikisha ujumbe Bila ya kupotosha Na kuleta taharuki kwa jamii nadhani unatakiwa ubaki huko kwenye organic farming hiki unachotaka tubishanie apa hakina maana kabisa waweza chukua ushauri au ukauacha chief
Dah, hongera pia unaepuka mengi mkuuHaha yeh men ,ukienda sokoni usinunue au mboga Lima mwenyewe ,kama dar hata nikiingia kwa hotel siagizi kuwekewa mboga ya majani kwasababu dar wanamwagilia maji ya makaro maji machafu au wanatumia dawa sana.
Sawa chief hata mimi si support matumizi ya hizi chemical kabisa tatizo kubwa ni jamii yetu watu sio waaminifu wanaangalia sana fedha kuliko Utu wa watanzania wenzao hii ni changamoto kubwa sana kwa Sasa labda wataalamu mtuelimishi ili tuanze panda mboga majumbani kwetu maana hakuna wakumuamini kwa sasaHahaha haya ni wamazo yako tu mkuu
Na hapa duniani uwezi kukubaliana na kila kitu ila mimi nilichoandika sijatunga ni ukweli kabisa.
Na kwa nini nitunge story ili iweje???
So, nimetumia real situation nilokutana nayo na ukanisaidia pia kuendelea kupiga vita hizi chemical sasa kama unaona naleta taharuki acha kama ilivyo.
Hapa sasa umenena na tutaenda sawia kabisaSawa chief hata mimi si support matumizi ya hizi chemical kabisa tatizo kubwa ni jamii yetu watu sio waaminifu wanaangalia sana fedha kuliko Utu wa watanzania wenzao hii ni changamoto kubwa sana kwa Sasa labda wataalamu mtuelimishi ili tuanze panda mboga majumbani kwetu maana hakuna wakumuamini kwa sasa
Mkuu hivi vitu havikwepeki kwa kweli maana hasa nyanya inakupigwa dawa uhai wake wote
😂😂Tujadili organic farming achana na habari za kufa
Comment ya hovyo kabisa hii.
K ? [emoji217] [emoji217] [emoji218] [emoji217] [emoji217]Exactly hilo liko wazi
Si lazima niwe na njia moja ya kufikisha ujumbe, ujumbe huwafikia watu kwa njia mbalimbali
But ukitumia mifano ujumbe unafika na kueleweka zaidi
Mkuu usiwe too rigid pls
Ni kweli kifo hakikwepeki lakini kuna maumivu na mateso ndio twatakiwa kutumia akili hekima na busara kuyapunguza, na njia mojawapo ni hiyo ya kuepuka kila hatari inayoonekana mbele yako, na mojawapo ya hatari hizo ni kubugia kemikali.Mwisho wa siku maradhi yote hayo hupelekea kifo.
Tusiogope kufa hatutaishi milele mkuu.