Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Haya sasa baada ya ajali , turudi tena trending na le_movie letu
 
upcoming Jambazi, hivi ile Scene ya yule manzi aliyetoka na Chupi tu, hali ilikuwa kama ulivyohadithia ama kuna chapta ume Skip mkuu? ujue watu wenye hela wakuwaga wanamili ki midude flani hivi classic.

Ety mzee wa mjegeje hamkumkula kweli? sjui kwanini kharam nyingi huwa ni tamu isiyodumu. kila la kheri mkuu, hii kitu itakuwa kama Isidingo vile bado u hai kuna ma episode mengi stil to come..

Kongole Mkuu umepitia njia ngumu ngumu sana, natumai kwa sasa upo kijiweni unakula singeli. na kutupa do na donts za hustling
 
Bonge moja la story [emoji119]

Sent from my TECNO CG7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Song of Solomon visa ninavyo kibao sema muda wa kuandika ndo tatizo,nikishaanza kuandik siunajua tena wadau wataka kila siku uwape episode za kutosha,siku nikipata muda tena nitaanza kuandika kisa kingine ambacho sijawahi kukiandika hapa
Sawa mkuu usisahau kututag kama Mimi ni mmoja wa watu wanaopenda sana kusoma naanimi chakula kikuu Cha ubongo wangu ni maandishi[emoji120]
 
Mkuu kwema?Mimi sina mengi ila tu Mungu akupe maisha marefu na baraka.
 
Kabla Jf haijabadirishwa kama ulikuwa na akili hivi. Lakini sawa nimeelewa, kuna uzee pia
 
KWANI HUJAENDA NA SIMU, AU UNAANDIKA KUPITIA DESKTOP. KAMA MATERIAL YAKO KICHWANI NA SIMU UNAYO HAPO MSIBANI KWENYE MAJAMVI SI UNAWEZA KUANDIKA TU VIZURI TUKAPATA UHONDO!![emoji16][emoji16]jokes.
Anyway, pole kwa msiba. UMUGHAKA
Duuh..! Kuna watu mnawaza utumbo. Yaani mtu ana msiba kuna pilikapilika za kufanya pale msibani. Au hata ana majonzi, au hata alipokaa tu wamuone tu kukuandikia Wewe, kilichompeleka achane nacho?

Wewe unamwambia akae kwenye jamvi akuandikie. Hizo akili au matope?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…