Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Binafsi Kwenye fikra zangu hua nahisi Mara/Musoma ni mapori tu na vijiji hakuna mjini.
Siku moja Inabidi nifike huko mura
Acha hzo babu msoma au mkoa wa Mara Ni mkoa. na musoma ,tarime,bunda ,sirari Ni miji mikubwa Sana na Ina wasomi wengi mno ndani na nnje ya nchi.

Baba wa taifa letu mwenyewe katokea uko Musoma kabila la wazanaki kabila ndogo Sana ila kwa ujumla mkoa wa Mara Ina vipanga Sana Seema nn Bab wa taifa hajaipendelea Na kuipa umuhimu Kama ilivyo pewa chato umuhimu mkubwa kipindi Cha jiwe.

Aise watu wa musoma c wakuwachukuliaa poa mkuu
 
Jamaa wa kule wanasema ni wakorofi, ila ukweli ni wakarimu sana,ukorofi wao mpaka uwachokoze.
 

Hahaha me pia nimesoma Kibumaye shule ya msingi pale mwl tata bhokano [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuliishi opposite na kwa Juhudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…