Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Kwa wale walio angali series ya power kuna urafiki ulipo kati ya Ghost na Tommy Higan ! Sasa ndio huu wa Omughaka na mtatiro!

This is one of the best story ever....yani mimi mwenyewe nilikuwa na sisimka wakati anahadithia aiseee...haichoshi kusoma
 
[emoji120][emoji106]
 
Hii ya moto sana, nikipata rafiki kama mtatiro nitaimba halelujah.[emoji120]
 

Ikirunguri ( ubhusara)
 
We jamaa ilikuwaje ukakaa kwa shemeji miezi 3 bila kudai chako? Ingekuwa mimi mwezi mmoja tu ningepiga simu kumuuliza mshahara wangu vip

Kwenye masuala ya hela usionee mtu aibu aisee , mi nilishajifunza ukimuonea mtu aibu kudai hela yako na yeye anakupotezea full..!

limradi unadai kweli, hata kama ni mtu ubanuheshimu namna gani usione aibu kumdai hela yako

Halafu huyo Gabi ilitakiwa ukate nae mawasiliano moja kwa moja baada ya kukamatwa tena, atakutia matatizoni tena
Anyways yameshatokea tayari
 
Kusema kweli UMUGHAKA ni muungwana kwa kila kitu.

Amevumilia maneno ya wakatisha tamaa na bado anaposti episode 2 karibia kila siku pamoja na mizunguko yake ya utafutaji.
Big Up Poti.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Maisha ndivyo yalivyo Mkuu. Unaandaliwa kuwa msimamizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…