Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Tatizo mnataka tuwaone mnajua sana uchambuzi.! Ngoja tukuletee kitabu cha shigongo umchambue hadi kunakucha. Soma story enjoy, refresh funga simu pumzika. Kha.!
 
Huwezi kuelewa kama hujui story za wana appolo
 
We nae kwani kupiga demu lazima.!?
 
Ni mtatiro c nyamori
 
ANGALIZO


Episode kadhaa zinazofuata zinaukakasi,uenda zikakuudhi na zikakukera!.

Naomba mniwie radhi maana hapa nasema kile nilichokipitia na huko nilishaacha muda mrefu,mimi kwasasa ni raia mwema kama mlivyo nyie,hivyo msinihukumu kwa yaliyopita!.

Nia na madhumuni ni kujifunza na kuwatahadharisha vijana wenzangu kuachana na maisha ya starehe ya muda mfupi.

Nawapenda sana.
 
Sawa kaka tumekuelewa,


Lakini tunakuomba leo shusha episode hata tano hivi, ili tuenjoy zaidi hii jumapili

[emoji4]
 
Bila shaka mkuu we endelea kutiririsha maneno, mwenye kukereka majukwaa ni mengi akazubae huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…