Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Tatizo mnataka tuwaone mnajua sana uchambuzi.! Ngoja tukuletee kitabu cha shigongo umchambue hadi kunakucha. Soma story enjoy, refresh funga simu pumzika. Kha.!Vitu viwili vya kufikirisha;
1. Siku zote nimekaa pale Sorari sikuwa na demu wala sikuwahi kwenda kulala na demu guest na pale nilopopanga sikuwahi kuleta demu. Inawezekanaje mwanaume kukaa muda wote huo bila kupiga demu?
2. Mwanangu Nyamori aliniambia nishuke hapo Bunda kuna kijiji kuna mgodi unatema sana madini, baada ya kufika huyo huyo Nyamori anamuambia hapa hakuna kitu tunapoteza tu muda.