Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Mogabiri.....umenikumbusha mbali sana aisee, hiyo barabara kwenda nyamwaga hadi nyamongo siku moja ilitaka kutuua
 
Kijana aliyemaliza Form Six sio mtoto..ni mtu mzima..ana miaka zaidi ya 18..anajielewa..ni level ya kijana wa chuo kikuu...kushikiwa chini na kupigwa hivyo nadhani hapo kuna shida..hayo ni mambo ya watoto wa std iv to vii
Unawajua wakurya au unawasikia tu hapa kwenye story, mie sio mkurya ila nimeishi nao, mkurya kushika fimbo na kumtandika mke, mtoto sijui shemeji, mdogo mtu tena hadharani ni jambo la kawaida kabisa haijalishi una umri gani
 
Hakika huyu kijana apewe tozo hapa jf Ni mtu anajuwa ni maana ya fasihi andishi Ni mtaalamu haswa tumuombee mungu afike mbali manake anajuwa haswa
 
Basi ndo mimi hujakosea!
 
Inawezekana mkuu,mi nilishakaa geto Moshi miaka 3 sikuwahi kuleta demu na wala sikuwa na demu moshi,kuanzia mwaka 2011 hadi 2014 nikiwa na umri zaidi ya miaka 21 ,inawezekana sana,mara nyingi mi nilikua naweza kukaa hata miezi 8 sijakutana na demu
Nenda kamuone daktari [emoji56]
 
Sawa kaka tumekuelewa,


Lakini tunakuomba leo shusha episode hata tano hivi, ili tuenjoy zaidi hii jumapili

[emoji4]
Hpn bhan moja tu inatosha [emoji23] kwa leo

Namtafuta mtu anaitwa cocastic Ni mdau wa story ila sijamuona kitambo aje Hapa achekecheke kidgo
 
UMUGHAKA itabidi ujitafakari San mnk katika ule Uzi wa mzee makono ile ilifikia viewer 126000 +++ yaani waliosoma tu ,sas huu wa sasa HV umefika laki 132 kwa sas HV na Bado unaendelea sijui itafikia ngapi siju ilo ,ila ninachotaka kukumbia Ni kwamba jitafakari kuangalia namna ya kuzalisha vitabu upige pesa au movie kbsa tengenezaa mnk unajuwaa mnoo kusimulia na kuandika vzr sna
 
Mi sio mkurya ila kwenye hili nakubali kabisa, nawakubali sana sema nikileta posa msinitolee maparu 😂😂(jokin)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…