Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Unajua Kuna ka ukweli kwamba, wanawake wenye mavi mengi kichwani hakuna kitu.
Naona ubongo nao unashuka kwenda kuongeza nguvu kwenye matako hivyo kuwacha kamasi na upepo huku juu.
Ila uongo mbaya. Niwatamu.
😂ngoja wenye mavi yao wakuje tuone
 
Naomba unipe link ya huo wa mzee makono jamaa amenivutia kumsoma!
Hee kumbe hujui umaharufu wa umughaka hapa jf umetokana na simulizi yake ya kina mzee makono

Embu chake kweny account yake Kisha tafuta Uzi unaokwenda kwa jina la TULICHOMFANYA YULE MCHAWI

Huo Uzi ndio ulimpaisha umughaka Hadi wanna kumkubali na kukosa wakosoaji kbsa kwa sabub jamaa anatiririkaa haswa
 
Tena jmaa zangu kbsa wa A Town kbsa ,burka estate :-[[emoji3]

Ila kwa Sasa nipo ilazo kisasa Dodoma .
Yeleuwiiii.......yani we nae tunapishana pishana sana mkuu,chugani nitakuja December,lazima nikutafute burka estate,hapo Dom nimetoka Nina kama kamwezi flani HV mitaa yangu ilikuwa Emaus njia panda ya kwa Wazir mkuu,sio mbali sana na ulipo,.....ila kwa sasa hivi nimejichomeka ndichi kabisa Ruvuma huku,
 
Aaa mmash nawe unazunguka, nadhani mpaka huu mwaka unaisha utakuwa ushamaliza zaidi ya mikoa 5 kuizungukia. Hongera if that's making you better and fab for a living
 
Unajitahidi kuandika lakini jitahidi usichanganye L na R inakua kama vire hujui kiswahiri umenikela sana
Mkuu Lucha wapi nimechanganya R na L hebu niambie ili nijirekebishe Tata maana watu tuliokulia Mara ni ngumu kutenganisha L na R,mahali panapopaswa kutamkwa Lala sisi tunasema Rara!,hebu nionyeshe nilipokosea nirekebishe Mura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…