Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Kipande cha @Umhugaka kushika bunduki na kuua mtu kwa Mara ya kwanza nakisubiri kwa hamu sana

Alishatoa angalizo kabisa tuvumilie maana kuna mambo ya hatari sana, mishe za kuteka magari, machimboni ndio zitazaliwa hapo na kuvamia wenye pesa majumbani kwao ngoja tumsubiri tuone itakuaje
 
Alishatoa angalizo kabisa tuvumilie maana kuna mambo ya hatari sana, mishe za kuteka magari, machimboni ndio zitazaliwa hapo na kuvamia wenye pesa majumbani kwao ngoja tumsubiri tuone itakuaje
Wakurya wanaelekea Arusha kuchukua hela kwa Wachaga, Wameru na Waarusha.

Tusubiri vijana wa Arusha watakapoanza kusema CHAI...
 
Kamwene unigageee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…