Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Wakurya wanaelekea Arusha kuchukua hela kwa Wachaga, Wameru na Waarusha.

Tusubiri vijana wa Arusha watakapoanza kusema CHAI...
Nimewahi kupewa story nyingi Sana na jamaa mmoja alikuwaga jambazi zamani Ila akaacha baada ya jamaa zake wote kuuawa na polisi.

Alisema jambazi yoyote anayekwenda front hafikishi miaka 35 hapa duniani.
Especially jambazi ameshawahi kuua.
(Binafsi sijawahi kuona jambazi wa miaka 40.)
Watakula na ma polisi lkn polisi hao hao watawauwa wakisha wachoka. Hii Ni duniani kote.
 
Hii ni kweli kabisa. Wakifanya tukio kubwa LA kutikisa nchi order ikitoka juu kuwa wauawe lazima Polisi wawageuke wawaue.

Ilitokea sana Mbeya enzi za RPC SANYA.
 
Umughaka wahurumie mateja wako uku jamiiforum maana sio kwa alosto walionayo had muda huu

Wape ata kimoja wakalale nacho walau huenda wataacha kuja kuchungulia chungulia
 
Back
Top Bottom