Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Huyu jamaa na story yake Haina uhalisia,,,japo baadhi ya maeneo kayataja ili kutengeneza uhalisia,,,,

Alafu ameshaanza kuvimba masikio kisa wadau wengi wanataka muendeleo ,,,,
uhalisia ni upi Mkuu? matukio mengi ya watu wanaojitoa kwa sababu flani flani huwa kwa watu wa kawaida yanaonekana kama si halisi, sababu hata maisha tunayoishi si halisi pia.
 
Mwamba Ni muandishi mzuri Sana kiukweli.Hongera zako mkuu.
Nakushauri hi story yako Kama vipi utengeneze scripts uwauzie wachezaji filamu upige pesa mkuu.Ni nzuri Sana kiukweli.
Ukute wanachukua kila episode na kufanya mabadiliko kidogo tu ili ionekane mpya halafu tunauziwa mtaani. Mwamba awe makini, story yake ina mashiko, watu wanaweza kuiiba kiaina!
 
Pole sana sergeant
 
Labda kulimishwa ndio ilikuwa malipo yenyewe kwa mganga.....maana UMUGHAKA hajaongelea malipo baada ya shughuli za uganga. Hata hivyo huyo mtaalamu (mganga) alikuwa mwerevu sana!
 
Mijamaa mingi inamshobokea Umaghaka Sijui.

Watu wachache Tumeelewa huu mchezo hii ni stori ya kutunga.

Wala Haitaisha.

Story za kutunga Jf mwisho wake ni hapa.

Muulizeni mpwayungu village
stori yakutunga alafu nawewe inaonekana kila saa unaangalia kama kwamba katupia mwendelezo 😀 kweli wewe ni mjinga mtupu
 
Mijamaa mingi inamshobokea Umaghaka Sijui.

Watu wachache Tumeelewa huu mchezo hii ni stori ya kutunga.

Wala Haitaisha.

Story za kutunga Jf mwisho wake ni hapa.

Muulizeni mpwayungu village
The highest level of jealous
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…