Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Ndugu mwandishi tafadhali usiwasikilize hao wanaokujaza upepo eti ukatoe kitabu utapata pesa. Mkuu hao ni watanzanua na watanzania na kusoma vitabu ni vitu tofauti kabiiiisa, mtu anaweza kua anapenda kusoma kitabu ila kutoa 15K anunue kutabu hawezi.

Kuna mtu humu alileta stori ya uchawi mwaka jana ikapendwa wakamjaza atoe kitabu jamaa kweli akatoa kitabu. Waulize ni wangapi wenye kitabu chake, sio huyo tu kuna The Bold alitoa kitabu sidhani kuna mwana jf alinunua na walikua wanamjaza kweli huko jf intelligence.

Hear, hear.
Kama umeamua kutuburudisha kwa kushea uliyopitia endelea kufahya hivyo. Ila kama unaplan za kutoa kitabu hakikisha iwe imetoka ndani mwako na sio kwa kushawishiwa na hawa wanaosoma hapa ukitegemea eti watakuunga mkono kwa kununua.

Keep ya Head Up Hawa ni watanzania tena wa JF 🚶
View attachment 2403735
Mimi nakitafuta kitabu cha Lwanda Magere nataka kukinunua
 
Wala usishtuke uhalifu nao unasomewa kabisa mafians wana vyuo kama mamlaka zinavyopeleka watu wao kusoma either upelelezi au mambo mengine hata uhalifu unasomewa ni kazi za watu hivo kuna mabingwa wa hiyo michongo kwa mfano unataka kusema kalynda hawajasoma?
QNET wana PhD kabisa ya utapeli. Walitapeli hadi maafisa wakubwa wa serikali na wabunge kama Kigwangala.
 
Wote mnaosema ya kutunga au haitaisha ni mashoga tu kwa sababu hii sio story ya kwanza jamaa kusimulia hapa na alikatishwa tamaa sana ila bado aliimaliza
So hata hii am sure ataimaliza
 
Jamaa kama anaelekea kupoteza credit alizozipata jf!!
Kiukweli hii story inapoelekea sio pazuri hata kama sasa ni raia mwema. Ningekua mimi kulinda heshina yangu, ishu ya kunusurika kifo ningetungia kule ziwani may be mtumbwi ulipinduliwa na kiboko tukapoteana wavuvi wote. Unahitimishia huko.
Ila huku ni pazito unless uwe ushaenda jela kwa hayo matukio uliyoyafanya.

Sent
 
Hahahaha acha uoga wewe ..credidibility ya nini? Hii ni story bhana ...Acha mtatiro na Umughaka washike mashine hahahahaha
 
Back
Top Bottom