mshakamshaka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 355
- 647
Huu si muda wa kazi wazee mbn kelele kibao siamini kama forum hii wengi ni ma jobless.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza hii sio tamthilia. Elim ya bongo Shida tupuHuyu mkurya ni hatari! Anajua tamthilia! Nina digrii ya tamthilia ila simfilii!
iwe ya kutunga au laa, binafsi nitamchangia hiyo bodaboda, nilishapoeza vingi tu kwenye maishaHii ni ya kutunga acheni kuingizwa mkenge watanzania wengi ni debe tupu kichwani
Mimi nakitafuta kitabu cha Lwanda Magere nataka kukinunuaNdugu mwandishi tafadhali usiwasikilize hao wanaokujaza upepo eti ukatoe kitabu utapata pesa. Mkuu hao ni watanzanua na watanzania na kusoma vitabu ni vitu tofauti kabiiiisa, mtu anaweza kua anapenda kusoma kitabu ila kutoa 15K anunue kutabu hawezi.
Kuna mtu humu alileta stori ya uchawi mwaka jana ikapendwa wakamjaza atoe kitabu jamaa kweli akatoa kitabu. Waulize ni wangapi wenye kitabu chake, sio huyo tu kuna The Bold alitoa kitabu sidhani kuna mwana jf alinunua na walikua wanamjaza kweli huko jf intelligence.
Hear, hear.
Kama umeamua kutuburudisha kwa kushea uliyopitia endelea kufahya hivyo. Ila kama unaplan za kutoa kitabu hakikisha iwe imetoka ndani mwako na sio kwa kushawishiwa na hawa wanaosoma hapa ukitegemea eti watakuunga mkono kwa kununua.
Keep ya Head Up Hawa ni watanzania tena wa JF 🚶
View attachment 2403735
Aisee!
iwe ya kutunga au laa, binafsi nitamchangia hiyo bodaboda, nilishapoeza vingi tu kwenye maisha
Wengi ni WALINZI kazi zetu ni usiku!Huu si muda wa kazi wazee mbn kelele kibao siamini kama forum hii wengi ni ma jobless.
QNET wana PhD kabisa ya utapeli. Walitapeli hadi maafisa wakubwa wa serikali na wabunge kama Kigwangala.Wala usishtuke uhalifu nao unasomewa kabisa mafians wana vyuo kama mamlaka zinavyopeleka watu wao kusoma either upelelezi au mambo mengine hata uhalifu unasomewa ni kazi za watu hivo kuna mabingwa wa hiyo michongo kwa mfano unataka kusema kalynda hawajasoma?
Jamaa kama anaelekea kupoteza credit alizozipata jf!!
Kiukweli hii story inapoelekea sio pazuri hata kama sasa ni raia mwema. Ningekua mimi kulinda heshina yangu, ishu ya kunusurika kifo ningetungia kule ziwani may be mtumbwi ulipinduliwa na kiboko tukapoteana wavuvi wote. Unahitimishia huko.
Ila huku ni pazito unless uwe ushaenda jela kwa hayo matukio uliyoyafanya.
Sent