Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

.
 
Mwandiko
Yaani ndugu Mura kwa kweli unaandika vizuri sana na kwa kufuata Sheria zote za uandishi.Hakika ulisoma vizuri na ukaelewa fasihi.Ushauri:Kama ,vip ungewasikiana na wachapaji na ungetunga kitabu kizuri. Hakika niseme hadithi yako hii ni nzuri sana na inavutia.

Kuna Mzee mmoja kwa sasa ni marehemu,aliandika vitabu akiwa jela, akimtumia Wily Gamba Kama steering wake. Mzee alitajirika sana. Nimekuona MURA unaweza kupata pesa kwa kutumia utunzi wa vitabu.

Asante.
 
Kijana aliyemaliza Form Six sio mtoto..ni mtu mzima..ana miaka zaidi ya 18..anajielewa..ni level ya kijana wa chuo kikuu...kushikiwa chini na kupigwa hivyo nadhani hapo kuna shida..hayo ni mambo ya watoto wa std iv to vii
 
Wewe unachukulia serious stories za jamaa? Huwa zina walakini sema watakuja vilaza kukushambulia. Maana wataona unawakatisha stories.

They dont question. They just swallow, watakushukia. we subiri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…