Story kama hii Kwa kutunga inatakiwa uwe bonge la genius na ikuchukue mda mrefu sana kuiweka Sawa, bado katika suruba yote hyo uje uianike hapa JF bure , si Bora ukamuuzie shigongo , possibly ni masimulizi ya halisia , just only time to writeSTORI NI YA KUTUNGA WALA HAINA UHALISIA WOWOTE......
Tukafanye kazi sasa tumeambiwa tusubiri mpaka kesho kutwaVumililieni narudi mjini kesho kutwa,nikifika naendelea ndugu zangu!.
Bro kwa detail alizozitoa hapa hatuwezi kumkosa tukimuhitajiMura kwa story inakoelekea nakushaur usiruhusu kuonana na mtu hata mm nilikuwa nataka tuonane but nakushaur usitoe no yako wala kukubali kuonana na mtu wa insta
Bro kosa la jinai huwa halifi hata kama ni baada ya miaka kumi bado kesi inaweza kufufuliwa na ukashtakiwa
So pls baki tu mtu asiyejulikana kama wengine hapa jf
Pole sana kwa kipigo cha mwiziNisikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane!.
Kwenye haya maisha kuna wakati huwa ninakaa chini na kusema "Kama sikufa kipindi kile,basi siwezi kufa mpaka Mungu atakaporuhusu".
Nadhani wengi mtakumbuka ni siku chache tu zimepita nimeandika kisa cha maisha ambayo nilikutana nayo wakati nikiwa nimekwenda kumsalimia baba yangu mdogo akiwa ni Headmaster, maisha yale yalikuwa ya kawaida ila washirikina walifanya tukakosa amani.
Sasa baada ya hapo nilifaulu vizuri tu kuelekea shule ya upili(advance)na nikapangiwa huko Tanga kwa mchepuo wa Sayansi wenye combination PCB.
Hali yangu ya maisha ya shule kiukweli ilikuwa mbaya sana mpaka nikajuta kwanini nilichukua hiyo combination, siyo kwamba sikuwa na akili, la hasha!, akili ilikuwepo ya kutosha kwasababu nilifaulu kwenda advance kwa divisheni 2, ni combination iliyohitaji kupiga msuli kana kwamba umetumwa na kijiji, haikutaka mchezo wala kujisahau hata kidogo,sasa mimi nilipofika huko nikajikuta naungana na makundi na kujanjaruka kuwashinda hata niliyowakuta!.
Mkurya mimi kutoka wilayani Tarime kijiji cha Mogabiri nikajikuta nazamia kwenye dimbwi la mapenzi ya mtoto wa kitanga ambaye alifanya hata kusoma nikaacha nikawa namuwaza yeye na utamu wa papuchi yake!.
(Shamima popote ulipo ulaaniwe mbwa wewe kwa kuniharibia maisha[emoji23][emoji23]). All in all ni kwamba napambana na maisha yanasonga japo ni kibishi!. Sasa haya ya kwanini nilifeli nadhani kwa leo si mahala pake,nitawaeleza tu kilichofuata baada ya mimi kufeli shule!.
Kiasili mimi ni mkurya kutokea wilaya ya Tarime huko kijijini Mogabiri,ingawa hatukuishi sana hapo kijijini lakini ndipo chimbuko letu lilipo hapo, kwa pale Tarime mjini nyumbani kwetu ni Rebu.Pia tunao ndugu wengi tu waliotapakaa karibu kila kona ya hii nchi!, hapa Dar es salaam wamejaa ila wanajifanya kama hawanioni vile!(Maisha ya sikuhizi yamekuwa yakipumbavu sana).Kwakuwa wanajifanya kukausha na mimi pia napiga mikausho ya hatari!,sitaki kumgasi mtu!.
Basi bana, nakumbuka ile nimemaliza skonga nikawa nashangaa shangaa pale nyumbani kusubiri tokeo la kuelekea chuo, sasa nilifahamu kabisa siwezi kufaulu kwa kile nilichokifanya kule skonga, Mzee yeye aliamini toto lake limemaliza shule na anajivunia kwasababu nilikuwa nina akili,hakuelewa kabisa kwamba baada ya kufika shule nilijanjaruka kuwazidi hata niliowakuta!. Baada ya matokeo kutoka na ikaonekana nimepata divesheni zero, mimi kwa upande wangu sikushituka ila Mzee alihamaki sana na kushangaa nilipatwa na nini hadi nifeli!.
Tangu nimeanza darasa la kwanza hadi darasa la saba, sikuwahi kuvuka namba 5,ingawaje sikuwahi kuwa namba 1 lakini nilikuwa nacheza kwenye namba 2-4. Nilipofika form 1 hadi form 4 wembe ukawa uleule! nashika namba 3 -5,sasa hadi nafaulu kuingia advance Mzee wangu hakushangaa maana alifahamu kabisa toto lake nilikuwa nina akili!
Mzee wangu kiukweli alikuwa mkali mno na ilikuwa ikitokea nimefanya kosa akanikamata, kiukweli nilikuwaga naimba Haleluya!.Yeye alikuwaga achapi kwa fimbo za miti ya kawaida,bali alikuwa anachapa kwa nyaya ya umeme! Aisee usiombe kukutwa!
Kuna muda nilikuwa nikifahamu nimefanya kosa siku hiyo najiwahisha kuoga na kuingia kulala na kujifanya naumwa!, sasa akija akikushika shingoni kama anakupima joto akakuta huna joto,aisee utaomba ardhi ipasuke ikumeze ili ikuepushe na kipigo kisichokuua ila chenye kukufanya ukajuta kwanini ulizaliwa!.
Kutokana na kutokuridhika kwa mzee na yale matokeo, kuna siku kadhaa sikumuona pale nyumbani nikajua uenda atakuwa kwenye mambo yake, sasa kumbe mzee amesafiri hadi Tanga kwenda kuonana na Headmaster kufahamu mwanae ni kwanini nimefeli kiasi kile na wenzangu kufaulu!
Alichoamini mzee ni kwamba sikustahili kufeli na nilipaswa nifaulu!. Ule mpango wa yeye kwenda Tanga kumbe hadi Maza nae alikuwa akifahamu ila aliamua kula buyu ili ukweli ufahamike!, Mama yangu alikuwa rafiki yangu mkubwa sana na yeye peke yake ndiye shida zangu zote nilikuwaga nikimwambia!.Ila safari hii na yeye aliukaza uso wake na hakutaka kabisa kucheka na kima!.
Mwanaume niliendelea kujinafasi na kujimwayamwaya kwa kipindi kile kifupi ambacho mzee hakuwepo nikiamini atakuwa ameenda kwenye shughuli zake, akili yangu iliamini kwasababu mzee wangu alikuwa akinimini basi angenipatia mtaji ili nianze biashara!.
Baada ya kama siku 5 mzee alirejea, sasa tukiwa tunapata chakula usiku alikuwa akiniangalia kwa jazba sana, sikuwa na tatizo nae kwasababu niliamini yeye kuwaga na hasira za karibu ndiyo ilikuwa kawaida yake!. Sasa ile naendelea kula sijui ili wala lile,nilishitukia amenipiga kofi ambalo lilifanya kuanza kuona maluweluwe!.
Mama "Tatigha omwana araghere!"(Muache mtoto ale)
Mzee "Amos hebu niletee waya hapo chumbani"
Sasa mdogo wangu aitwaye Amos akaagizwa waya akachukue waya ili viboko vichukue nafasi!.
Mzee "Leo nakuua mbwa wewe"
Kiukweli siku hiyo nilijua kabisa nakufa maana mzee wangu alikuwaga hana masikhara kabisa na maneno yake!. Basi mama alikuwa akijaribu kumtuliza mzee lakini bado ikashindikana, kwa wakati huo sikuelewa kabisa ni kitu gani kilimsibu mzee wangu ambaye alikuwa amerejea kutoka huko alikokuwa ameenda!.
Mzee alinyanyuka akatoka akaenda ndani ambako sikufahamu alikwenda kufanya nini,wakati huo kiukweli hata chakula sikuwa na hamu nacho tena kwasababu mabanzi na makwenzi niliyokuwa nimechezea yaliniharibia mudi kabisa!.Baada ya mzee kutoka chumbani alikuja na kamba ya katani akanisogelea akanifunga na kunibana miguu kana kwamba anataka kuchinja kuku!,sasa akauchukua ule waya uliyoletwa na dogo nikaanza kuchezea stiki! kiukweli nilipigika sana!. Baada ya kuona ameniadhibu vya kutosha alinilaza kifudi fudi wakati huo kanifunga mikono kwa nyuma kama vile jambazi au mwizi amepigwa pingu.
Mzee "Leo nakuua, sali sala yako ya mwisho!"
Aliendelea "Siwezi kuharibu pesa yangu halafu wewe uende shule kuwa mtoro!"
Baada ya kusikia ile kauli basi nikajiongeza kiakili na nikafahamu kabisa atakuwa alikwenda shuleni kuutafuta ukweli wa mimi kufeli!.Kiukweli nilikiona kifo kiko karibu yangu!.
Mzee "Yaani nakulipia karo wewe unaenda kuvuta bangi shule?"
Aliendelea "Hizo bangi ulianza kuvuta lini?"
Sasa nikaanza kushangaa ni nani alimwambia nilikuwa navuta bangi? Kiukweli kitu ambacho sikuwahi kukifanya kwenye maisha yangu ni huo uvutaji wa bangi alionieleza!.
Mimi "Hapana baba sivuti bangi!"
Mzee "Leo utanitambua mshenzi wewe"
Kiukweli kujitetea ilikuwa ngumu sana maana kila nilipojaribu kujitetea nilionekana muongo na kuishia kukandamizwa viboko visivyokuwa na idadi!
Sasa kumbe alipokwenda kule shuleni, walimu walimwambia ya kwamba mimi nilijiingiza kwenye kundi la waliokuwa wameshindikana na kuanza kujihusisha na uvutaji wa bangi!walimu pia hawakufahamu hicho hakikuwa chanzo cha mimi kufeli bali ilibidi wamwambie mzee kwasababu ya kuniona mimi kukaa na watu ambao pale shuleni walikuwa wameshindikana!
Na kwa kipindi kile walimu walikuwaga hawaangaiki na mtoto wa mtu,wao walikuwa wakituambia mwisho wa mambo yote ni pepa(mtihani)ndiyo utakaochuja nafaka halisi na magugu!.
Basi bana, baada ya kupigika sana na mzee kunishikia panga, ilibidi maza aingilie kati kwa kujifunga kibwebwe na kumkoromea mzee!.
Mama "Hivi baba Sarah unataka kumuua mtoto kisa kufeli shule!"
Aliendelea "Kama humtaki mtoto muache akatange tange huko!"
Basi baada ya mama kuingilia kati, mzee aliniacha na akanitaka nipotee pale nyumbani na nisije kumtambua kama baba yangu. Mama alinisogelea na kunifungua zile kamba mkononi na miguuni!. Kiukweli nilipigika sana.
Nilitoweka pale sebuleni nikaelekea chumbani kulala huku nikiendelea kulia kwa kwikwi, mwili wangu wakati huo ulikuwa umejaa alama ya nyaya za umeme zilizosababishwa na kile kipigo!.
Usiku huo kiukweli sikupata usingizi kabisa kutokana na maumivu ya viboko!.
Soma zaidi:
Afya ya akili ni tatizo kubwa kuliko tunavyodhaniYaani huyu nae ety anasema Ana akili timamu??? Duuuuuuuuh
Wewe ndo mwanaume sasa nakubaliWakuu habari za leo?
Bila shaka nyie ni wazima kabisa ndugu zangu,poleni sana,Aisee nimetoka kidogo nje ya mji nipo mkoani tulileta Msiba,hivyo nisubirieni nikirudi nakuja kuendelea na kumalizia sehemu kidogo iliyobaki!.
Pia niwatoe hofu hakuna mtu yeyote aliyenitisha wala kuzuia eti nisisimulie,hilo wala lisiwape tabu!.
Vilevile nimejaribu kupitia comments za watu nimeona positive na negative opinions,hii ndiyo akili ya mwandamu siku zote,ukipenda tu usifiwe katika maisha basi wewe utakuwa na matatizo ya utindio wa ubongo!,mimi niendelee kuwaomba watu wanaotoa negative comments wala wasitukanwe na kukejeliwa!,acheni nao waji mwaye mwaye kwa kutumia uhuru vizuri wa kutoa maoni!.
Nilisema nia na lengo ni kufundisha watu,wengine haya ndiyo yalikuwa maisha yetu enzi hizo.
Narudia tena kuwaambia ya kwamba mimi kazi yangu ni bodaboda na napatikana bunju,yeyote anayetaka kuonana na mimi kuja kijiweni napo paki bodaboda yangu basi aje pm nimtumie namba anitafute nimuelekeze aje anione tupige stori,sasa mkiendelea kubisha ya kwamba mimi si bodaboda hiyo haisaidii kwasababu utakuwa ni mjinga tu unayetaka kubisha bila sababu ya msingi wakati mimi muhusika nipo bunju tu hapo ambapo unaweza kufika ili ubishi wako uishe!.Kama nilikuwa mpiga debe ni kitu gani kinizuie kuendesha bodaboda?,mimi sichagui kazi wakuu ili mradi iwe halali,sasa hivi sitaki kuiba cha mtu!.
Mimi kuandika vizuri ndiyo ikufanye uamini mimi si bodaboda?.Kupanga ni kuchagua.
Vumililieni narudi mjini kesho kutwa,nikifika naendelea ndugu zangu!.
Kabisa aisee..........Aisee, kweli dunia tambara bovu
Atoe wapi?mnadhani akili ni kama matako kila mtu anayo?akili tunapata watu wachache to. The chosen and blessed ones.ninyi wengine ndo mitaji ya akina kalyinda,deci ,qnet and the rest. Empty, chicken head.Yaani huyu nae ety anasema Ana akili timamu??? Duuuuuuuuh
Mara hatokagi boya[emoji106][emoji106][emoji106]Wakuu habari za leo?
Bila shaka nyie ni wazima kabisa ndugu zangu,poleni sana,Aisee nimetoka kidogo nje ya mji nipo mkoani tulileta Msiba,hivyo nisubirieni nikirudi nakuja kuendelea na kumalizia sehemu kidogo iliyobaki!.
Pia niwatoe hofu hakuna mtu yeyote aliyenitisha wala kuzuia eti nisisimulie,hilo wala lisiwape tabu!.
Vilevile nimejaribu kupitia comments za watu nimeona positive na negative opinions,hii ndiyo akili ya mwandamu siku zote,ukipenda tu usifiwe katika maisha basi wewe utakuwa na matatizo ya utindio wa ubongo!,mimi niendelee kuwaomba watu wanaotoa negative comments wala wasitukanwe na kukejeliwa!,acheni nao waji mwaye mwaye kwa kutumia uhuru vizuri wa kutoa maoni!.
Nilisema nia na lengo ni kufundisha watu,wengine haya ndiyo yalikuwa maisha yetu enzi hizo.
Narudia tena kuwaambia ya kwamba mimi kazi yangu ni bodaboda na napatikana bunju,yeyote anayetaka kuonana na mimi kuja kijiweni napo paki bodaboda yangu basi aje pm nimtumie namba anitafute nimuelekeze aje anione tupige stori,sasa mkiendelea kubisha ya kwamba mimi si bodaboda hiyo haisaidii kwasababu utakuwa ni mjinga tu unayetaka kubisha bila sababu ya msingi wakati mimi muhusika nipo bunju tu hapo ambapo unaweza kufika ili ubishi wako uishe!.Kama nilikuwa mpiga debe ni kitu gani kinizuie kuendesha bodaboda?,mimi sichagui kazi wakuu ili mradi iwe halali,sasa hivi sitaki kuiba cha mtu!.
Mimi kuandika vizuri ndiyo ikufanye uamini mimi si bodaboda?.Kupanga ni kuchagua.
Vumililieni narudi mjini kesho kutwa,nikifika naendelea ndugu zangu!.
Nasubir iishe ndo niifatilie vizur , sitaki kimuhe muhe cha kuachiwa utamu njianiπNisikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane!.

Leo nipo na ninyi vilaza. Hasa wewe mtunga hadithi halafu unatumia ID zako nyingine kutaka waibia watu. Sisi wengine tuna akili. Lete episodes nyingine hapa tupoteze muda tupo mapumzikoni. Ila kuomba omba pesa ukome. Hatukuomba utunge hizi stories. Ni kukosa kwako kitu cha kufanya ukaona utuburudishe. Sasa leta burudani hapa.ππππππhizo Shahawa unazomwagiwa na Mabasha zAko zimekuharibu sana Ubongo. Zero Brain wa JF
When a woman loves....πJamaa ni form six leaver halafu ni bodaboda na ana umri mdogo tu, lakini ana akili na busara kuliku mbumbumbu nyingi sana hapa JF zinazojitia kuwa ni wasomi na wamekula chumvi
Ukicheki anavyosimulia na anavyojibu wanaomdhihaki utagundua hilo
Sio yule utopolo mpwayungu village
Jamaa inaonesha ndo wale watu ambao maisha yao yapo straight yani mtu kasomeshwa shule ya msingi nzuri ,secondary nzuri kafaulu vizuri alilishwa vizuri na wazee ametafutiwa kazi nzuri ila kuna watu wanaraha sana haya maisha kila kitu wamefanyiwa kmmk [emoji16].Hapa umekosea mkuu
Milioni moja kwa Mafia anayepiga dili za milioni 100 ni pesa ndogo sana tena ukumbuke hayo sio malipo ya kazi bali ni pesa ya kujikimu wakati ukijiandaa kufanya kazi
Katika kazi za kijasusi kupewa pesa kama hizo ni jambo la kawaida sana
Duh...Kwanini uchangiwe wakati unaandika kutuburudisha? Acha njaa. Andika watu tunapokuwa free tunaburudika. Unasema wajifunze wajifunze nini? Huwa nyie jamaa mnaandika andika hivi mnaanza kudhani kuwa mnatia material na watu wanahitaji wafaulu. So mnaanza kutumia IDs zenu nyingine kujipasia mfunge. Hilo suala la kukuchangia tukuchangie we unalipa kupost hapa? Umepewa bure toa bure. Acha kutaka kutapeli watu.
Mkuu umeitikia kwa niaba?Nakuja nisubiri
Nina rafiki yangu bodaboda kwa siku anaweza pata hata 70000+ akikomaa kazini ila ni mvivu. Laiti kama angekuwa ana malengo na anatamani kuyafikia ana uwezo hata wa kulaza laki kwa siku. Ni vile bado hana majukumu so siku akipata hela ya kula,ya bosi na mafuta anarelax mpaka akamatike ana shida anapiga kazi sana. So ni kawaidaNi sawa kujiajiri ni kuzuri ila hii ya Bodaboda kupiga 90,000 per day mzee ni TATEPA.
Sawa babaWakuu habari za leo?
Bila shaka nyie ni wazima kabisa ndugu zangu,poleni sana,Aisee nimetoka kidogo nje ya mji nipo mkoani tulileta Msiba,hivyo nisubirieni nikirudi nakuja kuendelea na kumalizia sehemu kidogo iliyobaki!.
Pia niwatoe hofu hakuna mtu yeyote aliyenitisha wala kuzuia eti nisisimulie,hilo wala lisiwape tabu!.
Vilevile nimejaribu kupitia comments za watu nimeona positive na negative opinions,hii ndiyo akili ya mwandamu siku zote,ukipenda tu usifiwe katika maisha basi wewe utakuwa na matatizo ya utindio wa ubongo!,mimi niendelee kuwaomba watu wanaotoa negative comments wala wasitukanwe na kukejeliwa!,acheni nao waji mwaye mwaye kwa kutumia uhuru vizuri wa kutoa maoni!.
Nilisema nia na lengo ni kufundisha watu,wengine haya ndiyo yalikuwa maisha yetu enzi hizo.
Narudia tena kuwaambia ya kwamba mimi kazi yangu ni bodaboda na napatikana bunju,yeyote anayetaka kuonana na mimi kuja kijiweni napo paki bodaboda yangu basi aje pm nimtumie namba anitafute nimuelekeze aje anione tupige stori,sasa mkiendelea kubisha ya kwamba mimi si bodaboda hiyo haisaidii kwasababu utakuwa ni mjinga tu unayetaka kubisha bila sababu ya msingi wakati mimi muhusika nipo bunju tu hapo ambapo unaweza kufika ili ubishi wako uishe!.Kama nilikuwa mpiga debe ni kitu gani kinizuie kuendesha bodaboda?,mimi sichagui kazi wakuu ili mradi iwe halali,sasa hivi sitaki kuiba cha mtu!.
Mimi kuandika vizuri ndiyo ikufanye uamini mimi si bodaboda?.Kupanga ni kuchagua.
Vumililieni narudi mjini kesho kutwa,nikifika naendelea ndugu zangu!.
Sana. Si kidogo. Something must be done.Duh...
Mental illness ni tatizo kubwa nchi hii