Humu watu wanapenda kuCatch feeling kweli hata kwa vitu visivyofaa. Wanajikuta washakua
Profilers wa FBI mara Sijui file halijafungwa, mara ishia hapo utatafutwa and so many other bullshitin.
Hii ni simulizi kama simulizi soma Enjoy kula kona, apost asipost fresh tu sio ndio kujifanya mshakua wachambuzi wakati unajua kwenye Topic ya uchambuzi wa vitabu ulitaga au
bellow average.
Huko ndio kunasababisha wasimuliaji wengi kuamua kuacha kusimulia ajili ya ujuaji usio na maana.
Hear, Hear.
Stori kuitwa simulizi ya kweli haimaanishi ni kweli kilimtokea muhusika au kiliwahi kuntokea mtu. Watu hua wanapenda kuweka hiyo caption ya True Story ili tu kupata
Traffic/Audience kubwa kwenye simulizi zao. So wewe ukisoma hapa usijifanye unajua sana kumshauri muandishi. Soma Enjoy pita hivi[emoji117]
.
.
.
Daaamn...! I'm so Cold[emoji85]
Chai kama chai
View attachment 2404522