Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

NINA WASIWASI KAMA JAMAA ATARUDI TENA KUMALIZIA.
1. TRUE STORY INAVYOENDA NA KUGUSA VYOMBO VYA DOLA HAIKAWII KUZUIWA. NAKUMBUKA KULE RADIO FREE KUNA KIPINDI CHA "SITASAHAU" KINARUKA KILA JUMAPILI SAA NNE ASUBUHI, KUNA JAMAA ALIKUWA ANAELEZEA STORY YA KWELI ALIVYOKUWA JAMBAZI WAKITEKA MAGARI KATIKA MAPORI HUKO NGARA ILIPOFIKA HATUA TAMU KAMA HII MAMLAKA ZA JUU ZIKAIPIGA BAN.

2. JAMAA ANAZUGA NI BODABODA. KWA HUU MWANDIKO WAKE NA MTIRIRIKO ANAOANDIKA INAONEKANA KABISA JAMAA NI MTU ALIYETULIA NA AKILI TIMAMU SANA. HII KUJIITA NI BODA BODA NI KICHAKA TU KAJIFICHA.View attachment 2404371
Hembu acheni tupate Burudani acheni kumsumbua Umughaka
 
Usimhukumu mtu kama humjui point YAKO ya pili eti anajiita bodaboda ni kichaka cha kujifichia mbona ww ID YAKO haiendani na jina lako halisi na sio mhalifu ......stori ishushwe tu kama haiwapendezi piteni kushoto maswala ya kukatishana tamaaa yashapitwa na wakati UMUGHAKA shusha vitu ukipata nafasi
 
Humu watu wanapenda kuCatch feeling kweli hata kwa vitu visivyofaa. Wanajikuta washakua Profilers na Extraditors wa FBI mara Sijui file halijafungwa, mara ishia hapo utatafutwa and so many other bullshitin.

Hii ni simulizi kama simulizi soma Enjoy kula kona, apost asipost fresh tu sio ndio kujifanya mshakua wachambuzi wakati unajua kwenye Topic ya uchambuzi wa vitabu ulitaga au bellow average.
Huko ndio kunasababisha wasimuliaji wengi kuamua kuacha kusimulia ajili ya ujuaji usio na maana.

Hear, Hear.
Stori kuitwa simulizi ya kweli haimaanishi ni kweli kilimtokea muhusika au kiliwahi kuntokea mtu. Watu hua wanapenda kuweka hiyo caption ya True Story ili tu kupata Traffic/Audience kubwa kwenye simulizi zao. So wewe ukisoma hapa usijifanye unajua sana kumshauri muandishi. Soma Enjoy pita hivi👉
.
.
.
Daaamn...! I'm so Cold🙈
Chai kama chai
JamiiForums-188530487_698x439.jpg
 
NINA WASIWASI KAMA JAMAA ATARUDI TENA KUMALIZIA.
1. TRUE STORY INAVYOENDA NA KUGUSA VYOMBO VYA DOLA HAIKAWII KUZUIWA. NAKUMBUKA KULE RADIO FREE KUNA KIPINDI CHA "SITASAHAU" KINARUKA KILA JUMAPILI SAA NNE ASUBUHI, KUNA JAMAA ALIKUWA ANAELEZEA STORY YA KWELI ALIVYOKUWA JAMBAZI WAKITEKA MAGARI KATIKA MAPORI HUKO NGARA ILIPOFIKA HATUA TAMU KAMA HII MAMLAKA ZA JUU ZIKAIPIGA BAN.

2. JAMAA ANAZUGA NI BODABODA. KWA HUU MWANDIKO WAKE NA MTIRIRIKO ANAOANDIKA INAONEKANA KABISA JAMAA NI MTU ALIYETULIA NA AKILI TIMAMU SANA. HII KUJIITA NI BODA BODA NI KICHAKA TU KAJIFICHA.View attachment 2404371
Kwani bodaboda hawajatulia?

Acha dharau kijana
Oyi mlio leta ishu ta kutaka kumuungia Mwamba za mafuta ( kumchangia tuelekezi Mchizi yupo chimbo gani..haya mambo ndio maana wana wana Hustle kibao wanashindwa kushea sababu ya wadwanzi flani flani.
Chimbo ni Bunju B
 
Humu watu wanapenda kuCatch feeling kweli hata kwa vitu visivyofaa. Wanajikuta washakua Profilers wa FBI mara Sijui file halijafungwa, mara ishia hapo utatafutwa and so many other bullshitin.

Hii ni simulizi kama simulizi soma Enjoy kula kona, apost asipost fresh tu sio ndio kujifanya mshakua wachambuzi wakati unajua kwenye Topic ya uchambuzi wa vitabu ulitaga au bellow average.
Huko ndio kunasababisha wasimuliaji wengi kuamua kuacha kusimulia ajili ya ujuaji usio na maana.

Hear, Hear.
Stori kuitwa simulizi ya kweli haimaanishi ni kweli kilimtokea muhusika au kiliwahi kuntokea mtu. Watu hua wanapenda kuweka hiyo caption ya True Story ili tu kupata Traffic/Audience kubwa kwenye simulizi zao. So wewe ukisoma hapa usijifanye unajua sana kumshauri muandishi. Soma Enjoy pita hivi[emoji117]
.
.
.
Daaamn...! I'm so Cold[emoji85]
Chai kama chai
View attachment 2404522

Mfano tuanze kuchambua the black hermit, je unamkumbuka baroka au literature pita hivi[emoji2]
 
Back
Top Bottom