Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
But jamaa uandishi wake hauchoshiii ...arooostooo haswaaUtumwa huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
But jamaa uandishi wake hauchoshiii ...arooostooo haswaaUtumwa huu
KAMA KUNA MASTERS INAENDESHA BODABODA HUYO HANA AKILI. MASTERS YAKO UKIIPELEKA KUENDESHA BODABODA UNA KARATASI LA CHUO LAKINI "HUNA AKILI"Namba mbili umeharibu, so bodaboda hapaswi kuwa akili. Kuna watu wana masters wanapiga hizo mishe sembuse form6 failure???
Yupo vizuri. Unasoma kama unaangalia movie vileBut jamaa uandishi wake hauchoshiii ...arooostooo haswaa
Kabisa ngoja tuone mwendelezo ...Yupo vizuri. Unasoma kama unaangalia movie vile
Ahahaha hahahNgoja tumgenyeshe ajee
Yanii watu wanaanza kumpangia jamaa ukute saii kanusurika kupigwa shaba huko😀😀! mmash sasa tunsenda sawa nishawafikia!👍Huu si muda wa kazi wazee mbn kelele kibao siamini kama forum hii wengi ni ma jobless.
Ipo ile ya wachawi na mtoto Monica, ilikupita?Kabisa ngoja tuone mwendelezo ...
Kama kuna nyingine ashaweka naomba unidirect
kwamba alinusuruka kutolewa koromeo😀😀! KiddingUsiogope!
Kwanini atunge wakati ni story ya kweli.
Ilitokea zamani akiwa na 23yrs sasa hivi ni MTU mzima lazima atusimulie aliyopitia.
Subiri uone UMUGHAKA akichezea SMG.
Nilikuwa naingia kwa manatiIpo ile ya wachawi na mtoto Monica, ilikupita?
Kimpango wakeMtapigwa sio muda [emoji16]
Poa poa mkuuNilikuwa naingia kwa manati
Uwe unanitag plz
Alishasema hashobokei vitobo kabisa japo ana tobo lake kiwango cha kimataifa🤠!! !!Ngoja tumgenyeshe ajee
Umesahau kuwa huyu ni graduate wa form sixNINA WASIWASI KAMA JAMAA ATARUDI TENA KUMALIZIA.
1. TRUE STORY INAVYOENDA NA KUGUSA VYOMBO VYA DOLA HAIKAWII KUZUIWA. NAKUMBUKA KULE RADIO FREE KUNA KIPINDI CHA "SITASAHAU" KINARUKA KILA JUMAPILI SAA NNE ASUBUHI, KUNA JAMAA ALIKUWA ANAELEZEA STORY YA KWELI ALIVYOKUWA JAMBAZI WAKITEKA MAGARI KATIKA MAPORI HUKO NGARA ILIPOFIKA HATUA TAMU KAMA HII MAMLAKA ZA JUU ZIKAIPIGA BAN.
2. JAMAA ANAZUGA NI BODABODA. KWA HUU MWANDIKO WAKE NA MTIRIRIKO ANAOANDIKA INAONEKANA KABISA JAMAA NI MTU ALIYETULIA NA AKILI TIMAMU SANA. HII KUJIITA NI BODA BODA NI KICHAKA TU KAJIFICHA.View attachment 2404371
NdaliiiiiKamwene evuli veyaaa