Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Jamani tumpe muda ndugu Umughaka atupe story vizuri akiwa ametulia tupate mtiririko mzuri!

Kwa hiyo Mkuu Umughaka usiwe na haraka ya kuleta murndelezo wa story jipe muda pumua kidogo,fanya mambo yako mengi ya msingi zaidi ,ukipata muda na ukaona ni muda sahihi kutupa episode nyingine utatupa wala usipate pressure sisi tunasubiri!

Relax Mkuu usiwe na pressure sisi tutasubiri! Tunazidi kukupongeza kwa kutupq uhondo!
 
NINA WASIWASI KAMA JAMAA ATARUDI TENA KUMALIZIA.
1. TRUE STORY INAVYOENDA NA KUGUSA VYOMBO VYA DOLA HAIKAWII KUZUIWA. NAKUMBUKA KULE RADIO FREE KUNA KIPINDI CHA "SITASAHAU" KINARUKA KILA JUMAPILI SAA NNE ASUBUHI, KUNA JAMAA ALIKUWA ANAELEZEA STORY YA KWELI ALIVYOKUWA JAMBAZI WAKITEKA MAGARI KATIKA MAPORI HUKO NGARA ILIPOFIKA HATUA TAMU KAMA HII MAMLAKA ZA JUU ZIKAIPIGA BAN.

2. JAMAA ANAZUGA NI BODABODA. KWA HUU MWANDIKO WAKE NA MTIRIRIKO ANAOANDIKA INAONEKANA KABISA JAMAA NI MTU ALIYETULIA NA AKILI TIMAMU SANA. HII KUJIITA NI BODA BODA NI KICHAKA TU KAJIFICHA.View attachment 2404371
Umesahau kuwa huyu ni graduate wa form six
 
Back
Top Bottom