Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Nyie watu ni shida!!
 
Jamaa anajichanganya katika utunzi. Mi nasubiri amalize nimpe ukweli wake. Maana hii story anachanganya changanya na visa toka kwa Mvyekule
Kama unao uwezo leta story yako si wasomaji ndo tutaamua kuikubali au kuikataa, tabia ya kuvizia vitu vya watu na kuleta criticism zennu muachage bwana maana haziwasaidii
 
Kama unao uwezo leta story yako si wasomaji ndo tutaamua kuikubali au kuikataa, tabia ya kuvizia vitu vya watu na kuleta criticism zennu muachage bwana maana haziwasaidii
Bob wewe basi hujaenda shule level za juu au hujasoma vitabu na kuangalia movies. Ni jambo la kawaida sana kupata criticism na wasomi huzichukulia positively na kurekebisha. Waswahili huzichukulia personal na kuona ni chuki binafsi sababu wanajaa unafiki sana.

Mimi nimesoma na nina exposure nafaham the importance of criticism.
 
Andaeni cocacola baridi na popcorn 🍿 leo kuna episode za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…