Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Ina maana hamkupatiwa hats mafunzo ya masaa mawili ya kutumia bunduki na mlipelekwa frontline kama mkiwa hamna hata mwezi mmoja toka mujiunge na hilo genge la kuchukua pesa
Hapo ndipo kuna ukakasi hamna ujambazi wa aina hiyo wengine tushajihusisha kwa mbali na hizo shughuli
 
Huyu boss wao itakuwa alikuwa msomi yaani haamini kabisa mambo ya waganga,ingekuwa ni genge lingine la ujambaz lazima Umughaka na Mtatiro wangeoga dawa kwanza au wangepelekwa kwa Sangoma kuwekwa vizuri
Wewe ni mchanga haujui chechote kile mpambanaji wa kweli hawezi kuwadharau waganga
 
Ila uyu Gabi namjua kabisa, saiz anafuga rasta, mwamba mmoja kibonge mfupi na pesa anayo sana, anatembeaga na pikpik moja ivi la mjapan
 
Tuachane nao tuendelee kupokea madini
 
we jichanganye tu, muulize Gaby mchizi wake mtatiro kilichompata kwa huyo dem wake wa kaskazini.

Kikubwa usimuamini sana mwanamke ndgu yangu, labda awe kapitia mafunzo hayo ya ujasiri la sivyo mambo mengi ni kama wengine tu.
 
Wewe ni mchanga haujui chechote kile mpambanaji wa kweli hawezi kuwadharau waganga
Ulijihusisha na bosi wake umughaka au na wewe ulikua na bosi wako tofauti na huyo.??
kama ni tofauti na huyo unajuaje strategy za bosi wa jamaa ndgu yangu.

Huu ni ubishi wa kijinga tu ili uonekana ni gt.
 
Ulijihusisha na bosi wake umughaka au na wewe ulikua na bosi wako tofauti na huyo.??
kama ni tofauti na huyo unajuaje strategy za bosi wa jamaa ndgu yangu.

Huu ni ubishi wa kijinga tu ili uonekana ni gt.
Kuonekana GT kuna faida gani kimaisha? Hebu nikuambie kitu nimezipiga dili hatari sana zaidi ya hili analosimulia yeye na isitoshe nina elimu ndio maana nakuambia wewe ni mchanga usingebeza waganga na uganga
 
Ww jamaa comment zako za ajabu.

Jamaa kasoma kafika hadi advance huko afu ashindwe kuandika.
Afu mbona unadharau bodaboda.
Pull up your sockes please!!
Aende moshi mtaa wa maduka ya chini na ushirika wa neema, watu na degree zao wanaendesha bodaboda na bajaji na hawajawi ku apply kazi sehem yoyote na hawana mapango,

sometime degree ni makalatasi tu kama huna kazi sehemu husika ya ulicho somea
 
UMUGHAKA
Umejua kutufanya mateja asee!!
Yaani kwa ujumla wetu wote haters na suporters tumekuwa addicted kwa story yako mkuu!!
SHIKAMOO KAKA MKUBWA UMUGHAKA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ameileta tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…