Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
🤣🤣🤣🤣Jichanganye tu kwa mtatiro umeuvaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Jichanganye tu kwa mtatiro umeuvaa
Mpare una upa moyo wangu shida.🤣🤣🤣🤣
Fanya assumption kwamba ni ya kutunga upande wako.
I think utaacha kukosa usingizi.
waambie hao,mtu umeoa au umeolewa na ukirudi home kwa mshua,ukileta fyongo unachezea mbata kama kawa...Watoto wa siku hizi bwana... wamezaliwa na madingi ambao ni washkaji zao enzi zile unakuta dingi mkoloni hatari unaomba akisafiri asirudi, akiwa sebuleni we unabana chumbani yaan unakwepa msionane noma sana dingi wa umughaka unaona alienda school ya umughaka kupata full mkanda kwa nn asikutembezee mbata, shukuruni madingi wenu wa leo mnapiga nao selfie....
Shida gani tena? Samahani km nakuboaMpare una upa moyo wangu shida.
Ukisikia double straika ndo hii sasa! Ila hapo kwenye chupi mi nahisi siwezi kuwa jambazi! Maana naweza sahau kuiba nibambie kidogo zigo
Tuho naye(Tupo)Mpare uko peke yako?
Haha peke angu kiaje mkuu?Mpare uko peke yako?