Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Umughaka lazima apone kwa sababu kunguru muoga siku zote huishi miaka mingi ....

Kwenye maisha ukijikuta jasiri sana ,haraka San unamaliza mwendo ...
Kweli kabisa, mfano mzuri The big boss is no more. (Huyu jamaa alikua mtu hatari sana katika jamii)
 
Jipe "wachamawe sengi"

Yule mama "Wachatata"

Jipe "Mwasibhao"

Yule "Chasibhao lata,jendeyo"

Jipe "Ni jakisi sengi"

Kumbe jipe ni mjita ha ha ha
Jipe “ Habari shangazi

Yule “ salama”

Jipe” mnaendeleaje”

Yule” vizuri, za huko

Jipe “ nzuri shangazi”

Kijita hicho mkuu, kabila kutoka Musoma.. lakini kinaendana na Kikerewe na Kikara kutoka wilaya ya Ukerewe Mkoa wa Mwanza
 
Nimesoma post zako karibu zote kwenye Uzi huu,sikuwahi kujua kwamba una busara namna hii, Kalpana sikuchukulii poa tena mkuu,....umetema madini sana kujaribu kuwaelewesha watu,tulokuelewa tumeelewa na mgumu kuelewa usimlazimishe aelewe,hata mitume na manabii was Mungu hawakueleweka na jamii zao mkuu,
Hahaa mkuu thanx. Kule jukwaa la michezo ni kujitoa tuu ufahamu usijenichukia.
 
Back
Top Bottom