Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Mademu wa arusha Get rich or die trying.
Madem wa sehemu zingine Be poor while watching saluni ya mama kimbo
Kuna siku mkoani huko nimetoka Zangu bank na tuhela twangu twa kubip twa kuhemea nyanya sokoni 🤣🤣 walitaka kunitapeli mchana kweupeeee ... alitangulia mwanamke wa makamu kidogo mmoja Huku natembea ananiulizisha unajua wanapobadili madini kwa fedha kwa haya maeneo kwenda mbele akaongezeka mwingine mdada wote rafudhi ileilee naweupe wao afu warembo kwelii... heee kumbe wako team na wa kiume na gari yao ya kazi kaaazii na dereva wao chaaaaahhhh!
Siku nyingine mkoa mwingine tena Alooooooooh🙌
 
Ni sijui ni kwa nn kuna mmja alivamia mpesa tatu sa mbili usiku ilipigwa risasi moja mtaa mzima vumbi tu huyo wa mpesa ilokusudiwa akuumizwa badae anakuja kusema ni dem anaongea kiarusha alikua kavaa mgoroli wa kimasai namzula na bandana nyeusi
cc goroko77 😁😁😁😁
 
Ni sijui ni kwa nn kuna mmja alivamia mpesa tatu sa mbili usiku ilipigwa risasi moja mtaa mzima vumbi tu huyo wa mpesa ilokusudiwa akuumizwa badae anakuja kusema ni dem anaongea kiarusha alikua kavaa mgoroli wa kimasai namzula na bandana nyeusi
Hatari sana asee!
 
Kweli maisha hayana formula!!! Jamaa Angekua na akili ya kuwekeza angekua mbali sana anyway.. Wacha tusubiri muendelezo tuone!
Majambazi huwajui wewe,hakuna jambazi huwa na akili ya kuwekeza. Hela zao huishia anasa za wanawake wazuri na pombe.
 
KUNA EPISODE HUJAONA..WALIPELEKWA PALE KWA MGANGA UNAPEWA NAMBA THEN UNAKATIWA KIPANDE CHA ARDHI ULIME UKISUBIRIA UITWE KUOGESHWA DAWA.
Hicho kipande naona nilkiruka ngoja nikitafute
 
Huyu boss wao itakuwa alikuwa msomi yaani haamini kabisa mambo ya waganga,ingekuwa ni genge lingine la ujambaz lazima Umughaka na Mtatiro wangeoga dawa kwanza au wangepelekwa kwa Sangoma kuwekwa vizuri
Walipelekwa Bariadi na walilima hadi shamba la mganga[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sio vizuri kuwaita watu majobless sababu kazi ni majaaliwa. Hata wewe ulienakazi leo unaweza kuipoteza kesho na ukala msoto heavy. Ambao tulishakuaga in,out,in,out,in kwenye kazi tunaelewa
Wakulaumiwa ni ccm, mara wanafunga uchumi mara wanafungua uchumi, wananchi hawana pesa na hawanashughuli za kuzungusha pesa.
 
Back
Top Bottom