Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku mkoani huko nimetoka Zangu bank na tuhela twangu twa kubip twa kuhemea nyanya sokoni 🤣🤣 walitaka kunitapeli mchana kweupeeee ... alitangulia mwanamke wa makamu kidogo mmoja Huku natembea ananiulizisha unajua wanapobadili madini kwa fedha kwa haya maeneo kwenda mbele akaongezeka mwingine mdada wote rafudhi ileilee naweupe wao afu warembo kwelii... heee kumbe wako team na wa kiume na gari yao ya kazi kaaazii na dereva wao chaaaaahhhh!Mademu wa arusha Get rich or die trying.
Madem wa sehemu zingine Be poor while watching saluni ya mama kimbo
cc goroko77 😁😁😁😁Ni sijui ni kwa nn kuna mmja alivamia mpesa tatu sa mbili usiku ilipigwa risasi moja mtaa mzima vumbi tu huyo wa mpesa ilokusudiwa akuumizwa badae anakuja kusema ni dem anaongea kiarusha alikua kavaa mgoroli wa kimasai namzula na bandana nyeusi
Hatari sana asee!Ni sijui ni kwa nn kuna mmja alivamia mpesa tatu sa mbili usiku ilipigwa risasi moja mtaa mzima vumbi tu huyo wa mpesa ilokusudiwa akuumizwa badae anakuja kusema ni dem anaongea kiarusha alikua kavaa mgoroli wa kimasai namzula na bandana nyeusi
Noma mnoHatari sana asee!
Majambazi huwajui wewe,hakuna jambazi huwa na akili ya kuwekeza. Hela zao huishia anasa za wanawake wazuri na pombe.Kweli maisha hayana formula!!! Jamaa Angekua na akili ya kuwekeza angekua mbali sana anyway.. Wacha tusubiri muendelezo tuone!
Mkuu huu uzi umefutwa au niaje mkuu, kwako unafunguka??Utajiri wa kaka upo kwenye viungo vyangu vya siri
Hayaa kimbieni huko ila mrudi kesho kutwa umughaka akirejea
Duhhhh!!!!Majambazi huwajui wewe,hakuna jambazi huwa na akili ya kuwekeza. Hela zao huishia anasa za wanawake wazuri na pombe.
AmekusikiaJipe ni mafia damn!!
Hicho kipande naona nilkiruka ngoja nikitafuteKUNA EPISODE HUJAONA..WALIPELEKWA PALE KWA MGANGA UNAPEWA NAMBA THEN UNAKATIWA KIPANDE CHA ARDHI ULIME UKISUBIRIA UITWE KUOGESHWA DAWA.
Siku ufatilia Tena mnk ulikuwa na mambo ya ki ngese Sana Bora Ni baki hukuhuku kwa muraaaMkuu huu uzi umefutwa au niaje mkuu, kwako unafunguka??
Walipelekwa Bariadi na walilima hadi shamba la mganga[emoji28][emoji28][emoji28]Huyu boss wao itakuwa alikuwa msomi yaani haamini kabisa mambo ya waganga,ingekuwa ni genge lingine la ujambaz lazima Umughaka na Mtatiro wangeoga dawa kwanza au wangepelekwa kwa Sangoma kuwekwa vizuri
Nimeiona,kumbe alikuwa ameiunganisha na episod nyingine hvyo mwanzo sikugundua niliirukaWalipelekwa Bariadi na walilima hadi shamba la mganga[emoji28][emoji28][emoji28]
Wakulaumiwa ni ccm, mara wanafunga uchumi mara wanafungua uchumi, wananchi hawana pesa na hawanashughuli za kuzungusha pesa.Sio vizuri kuwaita watu majobless sababu kazi ni majaaliwa. Hata wewe ulienakazi leo unaweza kuipoteza kesho na ukala msoto heavy. Ambao tulishakuaga in,out,in,out,in kwenye kazi tunaelewa
Mpare uko peke yako?UMUGHAKA pls pls pls do the needful niutafute usingizi
EehhMpare uko peke yako?