Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Dah mtatiro Pole yke

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hatari na nusu
 
Najifunza hapa matajiri wengi bank sio rafiki zao
 
Pole sana mtatiro!!
 
Aende moshi mtaa wa maduka ya chini na ushirika wa neema, watu na degree zao wanaendesha bodaboda na bajaji na hawajawi ku apply kazi sehem yoyote na hawana mapango,

sometime degree ni makalatasi tu kama huna kazi sehemu husika ya ulicho somea
Sure mkuu nilikujaga kutembea hiyo mitaa ya usharika wa Neema karibu na mitaa ya chuo cha mwenge. Pia nikipita kitaa cha nyamalango kule mwanza malimbe unayoyasema nimeyaona.
 
Mtatiro mwana sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kijana aliyemaliza Form Six sio mtoto..ni mtu mzima..ana miaka zaidi ya 18..anajielewa..ni level ya kijana wa chuo kikuu...kushikiwa chini na kupigwa hivyo nadhani hapo kuna shida..hayo ni mambo ya watoto wa std iv to vii
Watoto wa siku hizi bwana... wamezaliwa na madingi ambao ni washkaji zao enzi zile unakuta dingi mkoloni hatari unaomba akisafiri asirudi, akiwa sebuleni we unabana chumbani yaan unakwepa msionane noma sana dingi wa umughaka unaona alienda school ya umughaka kupata full mkanda kwa nn asikutembezee mbata, shukuruni madingi wenu wa leo mnapiga nao selfie....
 
Hongera sana mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…