Nilivyonusurika kifo juu ya mti

Aisee pole, hadi unajiachia kwani hao dondola walikua bado wanakufata? Au ni maumivu yake tu hadi watu wanaachia mti na kuanguka? Kama nakuonà ulivobakiwa na manundu ya dondola[emoji23][emoji23]
Dondola anakupiga, alafu anakufata tena
Mdukuo wake mmoja kama ngumi ya matumla
Alafu wanakua wachache, watano au wanne hivi. Lakin utatamani ungepigwa ata na jiwe

Acha na mdudu anaeitwa nyigu real definition ya jeshi la mtu mmoja


Kuna mshikaji wangu alipigwa na dondola mdomoni
Yani kumtenganisha na nguruwe hadi uwe nae karibu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Aisee sijawahi kukutana na kisanga cha dondola , hapo kama ngumi ya matumla 😂😂 i can imagine.

You mean huyo mshkaji alivimba kama kitimoto?😂😂 afu naskia wakikung'ata wengi unaweza kufa sumu yake?
 
Aisee sijawahi kukutana na kisanga cha dondola , hapo kama ngumi ya matumla [emoji23][emoji23] i can imagine.

You mean huyo mshkaji alivimba kama kitimoto?[emoji23][emoji23] afu naskia wakikung'ata wengi unaweza kufa sumu yake?
Kwanza ukipigwa kama mdhaifu mdhaifu unaishiwa maji mwilini

Binafsi nyuki ndio wamenidonoa sana, nyigu mara chache sana zile za kustukiza tu

Dondola wangekua wengi kama nyuki, ingekua hatari zaidi, maana hao wachache tu wakikupatia uso unabadilika ndani ya sekunde tu
Alafu wanauma maeneo nyeti sana, kwenye kope, sikio, mdomo na pua
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Dah mkuu😂😂😂 but why hayo maeneo si wangeuma sehemu zingine zozote tu, ukorofi tu wa hao wadudu
 
mimi nilikutana nao kwenye mwembe na sindano walizokuwa wakinidunga wale nyigu sikuwa na namna nyingine zaidi ya kujiachia tu.

kilichonisaidia ni majani makavu yaliyokuwa chini ardhini yalinifanya nisiumie sana.
 
Wale wadudu huwa hawana adabu kabisa...watoto walizoea kupanda miti ya miembe au mipera lazima watakuwa wamekutana na mziki wao!!
 
Umenikumbusha tukio la mshikaji wangu fulan hivi. Ila yeye aliporomoka mpaka chini japo na urefu haukuwa mkubwa sana na alidondoka kwenye majani[emoji16].

Chanzo kilikuwa ni wadudu fulani hivi dizain ya nyuki ila wao ni weusi.
 
Mizambarau inatabia ya kuteleza na miti yake rahisi sana kukatika, hasa kipindi cha mvua

Udogoni nilikua na dance sana juu ya matawi, hadi mwenzetu alipokata moto kwa kuanguka juu ya mzambarau pale kijijini mang'ula (mwaya )
Wanasemaje mang'ula b
 
Nmeishia kusoma hapo uliposema mti una urefu wa Futi 60 ungekufa bahat yako
 
manyigu yametuuma sana kwenye miti ya ndimu,machungwa,korosho na maembe,halafu hawa makomandoo mpaka leo bado sijajua kwanini wanapenda sana kujenga kambi maeneo yanayofikiwa na watu.

kwenye mizambarawe sijawahi kuwa na uhusiano wa karibu na mzambarau mrefu,kwanza ina tabia ya kuteteza sana.
 
Aisee sijawahi kukutana na kisanga cha dondola , hapo kama ngumi ya matumla [emoji23][emoji23] i can imagine.

You mean huyo mshkaji alivimba kama kitimoto?[emoji23][emoji23] afu naskia wakikung'ata wengi unaweza kufa sumu yake?

bwana yule mdudu msikie kwa mwenzako,akipiga kichwani mpaka uje ushtuke kwamba uliumwa na mmoja tu,ni baada ya masaa kadhaa,vinginevyo zile never zinavyorespond ni kama unasikia misumari minne kwenda mbele,unawezasema umepigwa na manyigu saba[emoji1787][emoji1787][emoji1787],kumbe mmoja tu.

sema baada ya siku mbili jeraha linawasha ni raha sana kulikuna[emoji16].
 

wale jamaa wako smart sana,hawashambulii sehemu moja,lazima wagawane,ukipigwa ujue ni mmoja.

na homa lazima yaani.
 
Watu waliokulia vijijini zamani walikutana na kashkash za kila aina kwa sababu ya utundu.

Kuna kijana alipata ulemavu mbaya sana sababu ya hayo matunda ya zambarau.
Unamzungumzia huyu wa Mwanza ninaemfahamu na mimi, yeye matibabu yalishindikana akakatwa mkono wa kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…