Nilivyonusurika kifo juu ya mti

Nilivyonusurika kifo juu ya mti

Mizambarauni kilakala kama unaelekea chuo cha ualimu kigurunyembe
 
bwana yule mdudu msikie kwa mwenzako,akipiga kichwani mpaka uje ushtuke kwamba uliumwa na mmoja tu,ni baada ya masaa kadhaa,vinginevyo zile never zinavyorespond ni kama unasikia misumari minne kwenda mbele,unawezasema umepigwa na manyigu saba[emoji1787][emoji1787][emoji1787],kumbe mmoja tu.

sema baada ya siku mbili jeraha linawasha ni raha sana kulikuna[emoji16].
Mkuu 😂😂😂 nyigu 1 kama 7 hatari sana
 
Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23] nyigu 1 kama 7 hatari sana

unadhani nyuki anauma[emoji16][emoji16][emoji16],nyuki anacheza tu.
nyuki anawezauma mtoto akalia kawaida tu,ila nyigu akiuma mtoto utakwenda hospital kwa taharuki.
 
Mimi Nakumbuka Nilidondoka kwenye mti nikachomwa na mti kwenye kidevu ukafika kwenye ulimi. Nilibebwa mpaka nyumbani kwa Mama. Nikapelekwa Moja kwa moja Hospitali kushonwa.
Mpaka leo nina alama Chini ya mdomo. Utoto shida sana.
 
Kuna siku nyingine tunacheza Juu ya mti wa Mwembe ulikuwa sio mrefu sana.
Nilidondoka nikafikia mgongo, Sikuweza kupumua kwa sekunde 40. Nilikuwa nahisi kifo kimefika.
SINTOSAHAU KABISA
 
Mi nakumbuka kukimbizwa na mbwa kisa zambarau , primary hiyo,nilikimbia mbio sijawah zikimbia pona yangu ni kudondoka kwny mchanga,mbwa wakaacha kunikimbiza, bag la shule nimetupa uko na wenzangu nao mbio km zote nyie wale mbwa mxiew ,mpaka Leo naogopaga mbwa balaa
 
Back
Top Bottom