Nilivyonusurika kubakwa na msichana

Hivi huko ni kubakwa ama kufanya mapenzi?
 
Mkuu! Nadhani hapo ulitumia kinga kuzuia mimba tu na wala siyo magonjwa ya zinaa . Kwa jinsi mlivyonyonyana viungo mbalimbali bila shaka lazima palitokea michubuko ya kutosha kubadilishana chembe chembe za damu. Nakushauri ukapime. Wakati mwingine ukumbuke kuwa hata kupigana denda tu kabla hamjapima haishauriwi. Kuwa makini.
 
CHAI CHAI CHAI CHAI CHAI.
 

Attachments

  • 2457376_JamiiForums-621070314.jpg
    37.9 KB · Views: 2
  • 2457376_JamiiForums-621070314.jpg
    37.9 KB · Views: 2
Wadau
Nipo hapa kwabed mtoto kanikatalia katukatu kunipa tundra,nimetumia nguvu nimeishia kuambulia vifinyo, kung'atwa,mateke,mangumi nk
Sasa nimeamuwa hivi
Nimevaa boksa,bukta,suruali,mkanda,vest, na sweta nauchapa usingizi
nasubiri pakuche nichukue uamuzi sahihi

Pumbavu sana
 
Ndo maana hata ule uzi wako wa Kampala University nilijua ni chai. Tatizo la ukosefu wa ajira ni kubwa kwa sasa.
Nan kakwambia hana ajira hz ninazoadithia apa ni real story ata mtu ukisoma na kuvuta picha unaona kabisa this oa real sasa ww cjui mtu wa wap ila isiwe shide km huamin basi
 
Mbake
 
We mvulana hebu kajifunze kuandika kwanza kabla hujabakwa tena
 
UBWABWA WA RUNGWE WAPI TENA WIKI HII JAMENI?
 
MAANA YA KUBAKA KISHERIA
Mtu yeyote ambaye bila halali atafanya tendo la ndoa na mwanamke au
msichana bila idhini yake, au kwa idhini yake ikiwa idhini hiyo kaipata kwa
nguvu au kwa njia ya kuhofisha au kutishia kwa namna yoyote au kwa hofu ya kuumizwa kiwiliwili, au kwa njia ya madanganyo juu ya namna ya kitendo chenyewe kilivyo au, kwa upande wa muolewa, kwa kujifanya ni mumewe.

KWA ASILI ANAYEBAKWA NI MWANAMKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…