Nilivyooa Kimasihara

Kamba
kamba
 
Stori kama hizi utazisikia kwa vijana wa kiafrika tu.
 
One of the best love stories I've ever read. Kama ni hadithi ya kweli hongera sana mkuu! Ina-happen kama jamaa wanavyobet tu.
Kumbe bado hawajakupa ban!
 
Mtoto wa chuo bikra!
Mtoto wa chuo kukataa 200k!
Mkuu hadithi tamu ila kwa hayo mawili nasemaje?
Umebonyeza sana.
Alikuwa mjanja. Huwezi elewa. Angepokea hio hela hata mimi ningemtafsiri tofauti. Alijua nini anafanya. Na nilikuja kumpa hela kubwa kuliko hio. Suala la bikra liache liko nje ya uwezo wako.
 
Uchungu upo kwa mbali, nadhani majani yalizidi.
Nilitanani huyu janaa yangu aje awape story hapa. Ila sasa kawa mtu mkubwa huko gavo so hawezi intertain hizi mambo. Yeye ndo alikuwa best man mpaka naenda kutoa mahali. Anajua mchongo wote.
Ila sio dhamira yangu kumwaminisha kila mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…