Nilivyopambana maiti ya tajiri isizikwe kwenye kaburi langu

Kule New York kuna makaburi fulani yanaitwa Green Wood Cemeteries, pale hazikwi mtu yoyote, ni mastaa na matajiri, unalipia hela nyingi.nilikuwa naona kama uchuro fulani kununua sehemu utakayozikwa ila baadae nilijua umuhimu wake.

Hata hapa nchini utaratibu huo upo wa kununua plot mapema ya sehemu utakapozikwa siku ukifa(nadhani tunafahamu makaburi ya xxxxxx sio kila mtu anazikwa pale, yako reserved)

Miaka kadhaa iliyopita niliona si vibaya na mimi nilipie 'plot yangu'

Unajua sie tuliozaliwa mjini ukizubaa ukikata moto utazikwa Mbagala bila kupenda na miaka yote ukiwa hai uliponda kuishi Mbagala

Nilijenga utamaduni wa kutembelea ile 'plot' yangu na kuwasalimia walinzi wa pale

Kuna siku nikapigiwa simu na mlinzi akidhani nimekufa maana kuna watu wanachimba kwenye 'plot' yangu nikamwambia mi ni mzima nakuja fasta.

Kufika pale nakuta maandalizi ya kumzika yule mfanyabiashara kwenye the so called kaburi langu nikiwa na full documents za malipo.

Kimbembe niligoma kabisa asizikwe pale maana nilikuwa na rafiki yangu ni askari niliambatana nae akiwa kwenye gwanda.

Kilichofuata ile plot ilibidi watupe hela ndefu nadhani ni balance ya michango ya msiba. Ile hela nisingeweza kuiacha, niliichukua na kutatulia matatizo yangu.
Nikifa nizikeni popote tu
😅😅 So umekula kaburi lako,mbona vigogo na Marais wetu wanazikwa huko makwao,kwani hawana hela ya kununua makaburi yao hapa bongo? Ukifa umekufa,hata manispaa wakikuzika poa.
 
binadamu akisha zimika jina lake linabadilika anaitwa maiti(mzoga) thamni yake uisha kuanzia kwa mkewe watoto wazazi dugu na majirani na marafiki

kama aikuwa analalia kitanda kizuli shuka safi kiyoyozi kila siku anabadilisha nguo magali akisha zimika tu wakwanza ni mkewe usema mtoe humu ndani mpeleke mochwali

mzoga huo hata uzikwe wapi hauna tena thamani hata umvishe shuti maua sanduku la nakishi ya dhahabu kazi bule tu mzoga ni mzoga hauna thamani

Baba yako akikwambia umzike kwenye shamba alilokuwa analima wewe kamzike unapopajua[emoji1787][emoji1787],ndio utajua mtu akifa na shughuli yake imeisha ama shughuli yake anaiacha nyuma.
 
Utaota kila aina ya ndoto
 
Kule New York kuna makaburi fulani yanaitwa Green Wood Cemeteries, pale hazikwi mtu yoyote, ni mastaa na matajiri, unalipia hela nyingi.nilikuwa naona kama uchuro fulani kununua sehemu utakayozikwa ila baadae nilijua umuhimu wake.

Hata hapa nchini utaratibu huo upo wa kununua plot mapema ya sehemu utakapozikwa siku ukifa(nadhani tunafahamu makaburi ya xxxxxx sio kila mtu anazikwa pale, yako reserved)

Miaka kadhaa iliyopita niliona si vibaya na mimi nilipie 'plot yangu'

Unajua sie tuliozaliwa mjini ukizubaa ukikata moto utazikwa Mbagala bila kupenda na miaka yote ukiwa hai uliponda kuishi Mbagala

Nilijenga utamaduni wa kutembelea ile 'plot' yangu na kuwasalimia walinzi wa pale

Kuna siku nikapigiwa simu na mlinzi akidhani nimekufa maana kuna watu wanachimba kwenye 'plot' yangu nikamwambia mi ni mzima nakuja fasta.

Kufika pale nakuta maandalizi ya kumzika yule mfanyabiashara kwenye the so called kaburi langu nikiwa na full documents za malipo.

Kimbembe niligoma kabisa asizikwe pale maana nilikuwa na rafiki yangu ni askari niliambatana nae akiwa kwenye gwanda.

Kilichofuata ile plot ilibidi watupe hela ndefu nadhani ni balance ya michango ya msiba. Ile hela nisingeweza kuiacha, niliichukua na kutatulia matatizo yangu.
Nikifa nizikeni popote tu
Ulichukua kiasi gani? 😂😂😂
 
😅😅 So umekula kaburi lako,mbona vigogo na Marais wetu wanazikwa huko makwao,kwani hawana hela ya kununua makaburi yao hapa bongo? Ukifa umekufa,hata manispaa wakikuzika poa.
Kzna kizazi fulani hatuna kwetu,tofauti na wazazi wetu
 
Back
Top Bottom