Nilivyopambana maiti ya tajiri isizikwe kwenye kaburi langu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimecheka hii Nchi ina watu wa ajabu ajabu
 
πŸ˜…πŸ˜… So umekula kaburi lako,mbona vigogo na Marais wetu wanazikwa huko makwao,kwani hawana hela ya kununua makaburi yao hapa bongo? Ukifa umekufa,hata manispaa wakikuzika poa.
 
Baba yako akikwambia umzike kwenye shamba alilokuwa analima wewe kamzike unapopajua[emoji1787][emoji1787],ndio utajua mtu akifa na shughuli yake imeisha ama shughuli yake anaiacha nyuma.
 
Utaota kila aina ya ndoto
 
Ulichukua kiasi gani? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜…πŸ˜… So umekula kaburi lako,mbona vigogo na Marais wetu wanazikwa huko makwao,kwani hawana hela ya kununua makaburi yao hapa bongo? Ukifa umekufa,hata manispaa wakikuzika poa.
Kzna kizazi fulani hatuna kwetu,tofauti na wazazi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…