NIlivyopiga kura huko nyuma, nitakavyopiga 2025

NIlivyopiga kura huko nyuma, nitakavyopiga 2025

mafutamingi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
2,773
Reaction score
2,183
Wanajanvi napenda kuweka kumbukumbu ya jinsi nilivyopiga kura baada ya mfumo wa vyama vingi kurudi. Hii ni kwa ajili ya kura
za urais tu

1. Mwaka 1995 - Augustino Mrema
2. Mwaka 2000 - Prof Ibrahim Lipumba
3. Mwaka 2005 - Freeman Mbowe
4. Mwaka 2010 - Dr.Wilbrod Slaa
5. Mwaka 2015 - Edward Lowassa
6. Mwaka 2020 - Tundu Lissu

Hii ndio historia yangu ya upigaji kura za Rais. Mwaka 2025 nampigia Mama yetu Samia Suluhu Hassan. Nimeshawastukia marais wanaume.
Wanazengua sana! Unganeni nami jamani tuendelee kutabasamu na kujwa furaha hadi 2030!
 
Hongera sana mkuu kwa moyo huo! Mimi tangu nitimize miaka 18 nimepiga kura mara 1 tu. Niliona najichosha tu wanasiasa ni watu wa hovyo.
 
Kwa jinsi mama alivyo muumini wa kutenda haki, napendekeza bunge limlazimishe awe Rais wa muda wote.

MATAGA wanaumia sana kuona mama anatenda haki wakati wao wamezoea dhuluma.
 
Mama ni mama tu, haki chini ya mama lazima itamalaki
 
Lazima Tusimame na Mama kwani kwa muda mfupi sana ameweza kutufurahisha! Hatukuwahi kuamini Bongo, kama ofisi ya DPP inaweza kusimamia haki. Ila utawala wa Mama umethibitisha kuwa yote yanawezekana
 
Back
Top Bottom