Nilivyosave Milioni 10 kwa miezi 6 na kujenga nyumba mbili na kununua gari zuri

Em shusha jina la hilo SUV, sisi wapenzi wa SUV tuongeze kwenye wishlist.
 
Asante sana.

Hebu nisaidie na mimi namna ya kusevu nifike ulipo.

Mimi ni Hotelier, napokea 280000 kwa mwezi, hiyo ni take home baada a makato...nimepanga chumba cha umeme, kodi 40,000 kwa mwezi...Mke na Mtoto anayesoma st Kayumba darasa la nne.
Umewahi majukumu ya kuoa
 
Ni kweli nina furaha sana. Huwa ninakaa ninaiangaliaaaa. Daah, ni luxurious car kwangu. Hata hapa nilipo sikuwahi kuwaza kuwa nitafika. Juhudi zinaendelea
Hongera mkuu ila take home yako sio mbaya so unanafasi kubwa yakufanya makubwa ukiendelea na utamaduni huo
 
Asante sana.

Hebu nisaidie na mimi namna ya kusevu nifike ulipo.

Mimi ni Hotelier, napokea 280000 kwa mwezi, hiyo ni take home baada a makato...nimepanga chumba cha umeme, kodi 40,000 kwa mwezi...Mke na Mtoto anayesoma st Kayumba darasa la nne.
Mwenzio take home 1.3m alienda kupanga chumba Cha giza, asa we na hiyo 280k itabidi ukaishi kwenye kichuguu kabisa kama kumbikumbi
 
Nyumba yako 30m, SUV approx. 20m, nyumba ya mama 7m, total =57m. Ndani ya miaka 3. Tanzania hii Hii?
Nami nimejaribu kupiga mahesabu naona yanakataa. Maana hapo pia alikuwa anatumia pesa kwa chakula, matibabu, sadaka kanisani, kulipia nyumba ya kupanga. Mmh hayo mahesabu yake hayakai. Hata anayosema point 7, haiwezi kuingiza pesa yote hiyo maana ni weeekends tu. Labda kazi za usiku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…